Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+
Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu.
Chalamila kumbuka kuwa na...
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo akiongea na wananchi wilaya ya Bunda amesema hakutakuwa na chakula cha msaada bali wanatakiwa walime, na kila mwananchi alime ekari kuanzia mbili za mihogo.
Na...
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious...
Maelfu ya wapalestina wengi wao wakiwa waislam na waandishi wa habari wameuawa na wanaendelea kuawa kila siku huko Gaza na majeshi ya Islaeri.
Nchi yetu ina mahusiano ya kibalozi na Israel na...
Hongera kwa hutuba yako ulioitoa Jumamosi tr 13 mwezi January kuhusu unafiki wa watawala kila mwenye akili zilizo salama atakua amekuelewa maongezi yako yanaonyesha kweli ulikua na nia njema...
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.
Nashauri...
Wanabodi,
Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September
Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani Mkoani Shinyanga amemuangukia Waziri wa Maji Jumaa Aweso akimuomba maji kwani Amesema Wilaya Majimbo yaote ya Mkoa wa Shinyanga yamefikiwa na Mji ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema hana taarifa za maandamano ya Chadema yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, mwaka huu akisema anachojua siku hiyo ni ya kufanya usafi...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel...
Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari.
Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi...
Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli
Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi...
Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani.
Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza...
Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara.
Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko...
Dk Emmanuel Nchimbi amemfutia shtaka la TZS 1 bilioni kada wa CCM James Mwakibinga baada ya kumtuhumu kuuza Viwanja 200 mali ya UVCCM.
source:MWANANCHI
Dk Nchimbi amfutia shtaka la Sh1 bilioni...
Dkt. Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka . Je, Nchimbi atakubali ana...
Hakuna shaka 2015 ulikuwa aina yake, hata kama Kinana alikataa kusema ulikuwa mgumu kuliko wa 1995 kama alivyonukuliwa
Uchaguzi huo ulimpoteza moja ya wanasiasa nguli na vijana ndani ya Chama Dr...
Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA.
The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani...