saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.
Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki kurusha Press za Makonda fuatilia alipopokelewa DAR na hata alipopokelewa Dodoma ITV saa 2 hawakurusha maagizo ya Makonda.
Lakini TV karibu zote ziliripoti mkutano wa Makonda.
ITV pekee ndio hawajarusha taarifa ya Makonda.
ITV kama mmenunuliwa na Mafisadi mkiamini mtaweza kuzima ndoto za Makonda kuwasemea watanzania wanyonge mtakuwa mmekwama sana siku hizi dunia imeshahama huko.