Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,953
Reaction score
3,459
Usinulize kwanini na hasa kwa nini wakati huu.

The man is smart, Energetic, Master mind, Planner nk.

Na sasa wale wapinzani wa Mama Samia hesabuni Maumivu.

Sio lazima ateuliwe anaweza kuwepo tuu background na kila kitu kikaenda. Tunaomfahamu tangu akiwa UVCCM had uwaziri hatuna shaka nae. Mlioanza siasa awamu ya tano hamumjui Kaeni kimya

2025 tunakwenda na Mama Samia
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
 
Hoja yangu hapo ni kwamba rais kapewa mamlaka yasiyo hojiwa. Anaweza kuwaua uvccm wote na asishitakiwe mahala popote
Ni kweli ulisemalo, lakini kwakuwa hayo mamlaka hakushushiwa na malaika, yanaweza kuondolewa siku moja na akashtakiwa.
 
Pengine ulikuwa hujazaliwa!! Ule mzigo uliotolewa BOT enzi ya marehemu Balali ulikuwa na kilo ngapi? Nchi hii imepigwa sana!!!
Nakumbuka ilikua kama billion 190
Nilikuwepo sana wakongwe sio
 
Nape anajua sana ufisadi wa Nchimbi ukiwemo wizi wa fedha za kujenga hilo ghorofa la vijana hapo Kisutu ambapo Huyu Nchimbi alikula na Subash Patel [ Esteem constructio] ndugu ya mkwere!!
Ndio ameishia kujua tu!
 
Huo usmart na umaster mind wake angeuonyesha mwaka 2015 siku ile Dodoma katika kura za maoni kupata mgombea uraisi CCM. Aliishia kulalamika yeye na kikundi chake
Bila Nchimbi
Magufuli angeshinda..??
 
Nape anajua sana ufisadi wa Nchimbi ukiwemo wizi wa fedha za kujenga hilo ghorofa la vijana hapo Kisutu ambapo Huyu Nchimbi alikula na Subash Patel [ Esteem constructio] ndugu ya mkwere!!
Nappe atafanya nn kwa Nchimbi
 
Back
Top Bottom