Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akemea tabia wa Wakurugenzi kuvizia Wananchi wajichange kisha ndio kuwapelekea huduma za kijamii kama Vituo vya Afya na Shule. Karibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani. Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda...
13 Reactions
43 Replies
4K Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana, si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake...
10 Reactions
65 Replies
22K Views
"...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa...
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Kutumbuana kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu. Makonda kaenda pangani kakutana na mkurugenzi aliyewahi kukorofishana naye kisha amemwelekeza waziri atumbue uteuzi wake huku akijua kabisa...
2 Reactions
5 Replies
875 Views
Nimeangalia clip mbalimbali zinazosambaa kuhusu hali ya majanga yanayotokana na mvua nchini Ukiangalia clip na kuangalia maneno yanayotolewa na wahanga yanalenga zaidi kuzifuatilia mali na...
3 Reactions
7 Replies
631 Views
Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema; "Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Na Bollen Ngetti KWANZA niwape pole wanaondelea kukumbwa na madhila ya mvua jijini Dar es salaam. Hali ni mbaya sana katika baadhi ya maeneo . Nyumba zinasombwa, watu wanakufa, mali zinateketea...
1 Reactions
0 Replies
542 Views
Azim Dewji ameendelea kuwakalia kooni Haters wa Rais Samia Kufuatia taarifa yake aliyoitoa wiki Jana kwamba Changamoto za umeme zinatokana na mahitaji makubwa ya matumizi. My Take Naunga mkono...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari. Nina news za Mwigulu ya kuandika jamii forum. Iko hivi: Kwa kawaida mbunge ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mstari wa mbele kuvutia uwekezaji jimboni kwake. Lakini Katika hali ya...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Tarehe.27/Novemba/2023 niliwasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Akizungumza leo Januari 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Nchimbi amesema hakuna mtu asiyejua CCM ndio chama kinachoongoza Serikali...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
📌📌 SIFANYI MIKUTANO YA KUJAZA WATU KWA KUTUMIA WASANII KWASABABU TUNATAKA KUONA UHAI WA CCM NA JUMUIYA ZAKE - MWENEZI MAKONDA Asema CCM Inawapenda na Kuwajali Wasanii lakini kwasasa ni muhimu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi poleni na mafuriko hapo Dar es salaam kufuatia mvua kubwa zilizonyesha. Mvua nyingi na kubwa zimenyesha siku mbili jana na leo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na...
0 Reactions
6 Replies
805 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
National Defense College (NDC) watembelea Wilaya ya Ludewa Washiriki wa kozi ya Ulinzi na Usalama ambao ni wanakozi kutoka katika vyombo vya Ulinzi na Usalama na taasisi mbalimbali za mataifa 8...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Ni ombi langu kwa Watu Wote wenye Mapenzi Mema tumuombee zaidi na zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Chalamila Wakat huu anapopambana na Changamoto lukuki Kukabili Mafuriko, Mlipuko wa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa mfano 2020 Tundu Antipas Lisu mgombea Urais kupitia Chadema alipata usumbufu usio wa lazima Wakat wa kurejesha Fomu Kwanini mchakato usianzie Tume ya Uchaguzi Ili Watu Wenye Sifa stahiki...
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…