ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,735
- 90,233
Azim Dewji ameendelea kuwakalia kooni Haters wa Rais Samia Kufuatia taarifa yake aliyoitoa wiki Jana kwamba Changamoto za umeme zinatokana na mahitaji makubwa ya matumizi.
My Take
Naunga mkono hoja ila Kwa tabia ya Waswahili ya umbea na mdomo bila takwimu hawawezi kuelewa.
My Take
Naunga mkono hoja ila Kwa tabia ya Waswahili ya umbea na mdomo bila takwimu hawawezi kuelewa.