Tume ya Uchaguzi iwapitishe kwanza Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kisha ndio Wakaombe Udhamini Vyamani mwao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,997
142,016
Kwa mfano 2020 Tundu Antipas Lisu mgombea Urais kupitia Chadema alipata usumbufu usio wa lazima Wakat wa kurejesha Fomu

Kwanini mchakato usianzie Tume ya Uchaguzi Ili Watu Wenye Sifa stahiki waliopitishwa na Tume ndio wakashindanishwe Kupata Udhamini kwenye vyama vyao?

Utaratibu wa sasa wa kuwekeana mapingamizi siku ya kurudisha Fomu ni wa Kishamba sana na umepitwa na Wakati

Nawatakia Dominica njema 😄
 
Unataka ku-create complication zisizo na maana. Kwa nini hiyo tume isifanye mambo kwa haki? Suluhisho ni tume huru yenye kufanya mambo kwa haki na siyo kuzunguka kusikokuwa na maana.
 
Kwa mfano 2020 Tundu Antipas Lisu mgombea Urais kupitia Chadema alipata usumbufu usio wa lazima Wakat wa kurejesha Fomu

Kwanini mchakato usianzie Tume ya Uchaguzi Ili Watu Wenye Sifa stahiki waliopitishwa na Tume ndio wakashindanishwe Kupata Udhamini kwenye vyama vyao?

Utaratibu wa sasa wa kuwekeana mapingamizi siku ya kurudisha Fomu ni wa Kishamba sana na umepitwa na Wakati

Nawatakia Dominica njema 😄
Sema kuna siku hua nakuelewa siku zingine hunajizimaga data
 
Back
Top Bottom