CCM kuitetemesha nchi leo. Paul Makonda kuunguruma Tanga na Dkt. Emmanuel Nchimbi kuitikisa Dar

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Leo ni kishindo ,ni mtetemeko na mateka kwa siasa za Tanzania pale ambapo majabali wawili kutoka ndani ya chama cha Mapinduzi CCM watakapo kwenda kuisimamisha na Kuitetemesha nchi kutoka pwani ya Tanzania.

Ambapo katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa chama cha Mapinduzi Taifa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda atakuwa akiungrumaa kama Simba kutokea pangani Tanga atakakofanya mkutano wa hadhara kuzungumza na maelfu ya wananchi ambao wanatarajia kufurika na kumiminika uwanjani kama maji ya bahari.ambapo katika mkutano huo atazungumza mengi juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kusikiliza na kutatua kero papo kwa papo.

Wakati huo huo katika jiji la Dar es salaam,jiji la raha na mafunzo,jiji la RC Chalamila ,jiji la kibiashara,jiji lenye bandari tegemeo kwa nchi takribani nane kutakuwa na kishindo kikuu cha mapokezi ya Jabali mwingine na Tembo wa kusini Dr Emmanueli Nchimbi katibu mkuu wa CCM Taifa.ambapo inatarajiwa shughuli zote kusimama katika jiji hilo kwa ajili ya mapokezi ya katibu mkuu huyo tishio kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA,ambapo tangia kuteuliwa kwake inasemakana kuna viongozi wamepata mshituko wa moyo na msongo wa mawazo kutokana na kuelewa vyema uchapa kazi wake

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
View attachment 2877031View attachment 2877032View attachment 2877033View attachment 2877034View attachment 2877035
 
Hacha kuvutia bangi chooni utanishukuru
 
Nchi imeshatetema kwa hii Bei ya Sukari.
 
Nchimbi haweze kuitetemesha nchi ila Makonda sawa. Nchimbi anahitaji kuwa strategic, keshapotea
 
Mungu amewakataa ndo maana amewatumia mvua kabambe wasifanye hizo ngurumo zao.
 
Mvua ni baraka .lakini pia CCM inaweza kuchapa mkutano na kuunguruma hata katikati ya mvua. ni kazi juu ya kazi.hakuna kupoa wala kupumzika.
Abimeleki naye alisema hayo hayo wakati jeshi linashuka milimani kuwavamia akasema anaona vivuli vya miti vinasogea......

Endelea na baraka. Soon muda unawadia ambapo CCM inaenda kuwa chama cha upinzani
 
Ndugu zangu Watanzania,

Leo ni kishindo ,ni mtetemeko na mateka kwa siasa za Tanzania pale ambapo majabali wawili kutoka ndani ya chama cha Mapinduzi CCM watakapo kwenda kuisimamisha na Kuitetemesha nchi kutoka pwani ya Tanzania.

Ambapo katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa chama cha Mapinduzi Taifa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda atakuwa akiungrumaa kama Simba kutokea pangani Tanga atakakofanya mkutano wa hadhara kuzungumza na maelfu ya wananchi ambao wanatarajia kufurika na kumiminika uwanjani kama maji ya bahari.ambapo katika mkutano huo atazungumza mengi juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kusikiliza na kutatua kero papo kwa papo.

Wakati huo huo katika jiji la Dar es salaam,jiji la raha na mafunzo,jiji la RC Chalamila ,jiji la kibiashara,jiji lenye bandari tegemeo kwa nchi takribani nane kutakuwa na kishindo kikuu cha mapokezi ya Jabali mwingine na Tembo wa kusini Dr Emmanueli Nchimbi katibu mkuu wa CCM Taifa.ambapo inatarajiwa shughuli zote kusimama katika jiji hilo kwa ajili ya mapokezi ya katibu mkuu huyo tishio kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA,ambapo tangia kuteuliwa kwake inasemakana kuna viongozi wamepata mshituko wa moyo na msongo wa mawazo kutokana na kuelewa vyema uchapa kazi wake

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mnatetemesha kitu gani wakati sukari tuu imewashinds
 
Hiiii
IMG-20231029-WA0015.jpg
 
Tumetetemeshwa na bei ya sukari itakuwa kolo huyo?
 
Kubwa la mapumbafu Toka lile chama la mapumbafu...
Nchi iko gizani,vyakula vinapanda bei,watoto wanabanana madarasani,walimu hali ngumu,hospitali dawa shida,michezo tunaaibika,viwanda vinafungwa,vijana ajira hamna,gharama za ujenzi juu simenti mpaka bati LAKINI pumbafu linasifu wanaozorotesha maisha ya wananchi kisa maneno ya shombo kwa washindani wao.
Ningekwambia 'go tu heli' LAKINI ngoja nitafakari kama siodhambi ntakwambia
 
Back
Top Bottom