Jerry Silaa tunakuhitaji Ukonga kwa sababu zifuatazo

pombe kali

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
222
435
Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote.

Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini na suluhu, ikumbukwe kuwa jambo la Ukonga lipo Wilaya ya Ilala, wilaya ambayo ni kubwa yaani inaanzia kariakoo mpaka chanika pia imepakana na kisarawe mkoa wa pwani kwa miaka yangu yote ambayo nimeishi ukonga nimegundua changamoto zifuatazo mosi ni miundo mbinu.

Tatizo la miundo mbinu ni kubwa kuliko tunavyofikiri kwani wakati wa masika watu hulazimika kupanga vyumba mjini kuepuka changamoto za usafiri ambapo huwa hakufikiki hapa naongelea maeneo kama mbondole,viwege, magole chakenke nk kwa watu wasio na akili lawama hizi huwa wanamtupia mbunge.

Bila kujua historia ya jambo husika wala kujua taratibu za serikali na michakato ya kumpata mzabuni nk, sababu ya kuwaelekeza wana ukonga kwamba tunamuhitaji Jerry ni kwamba huyu jamaa amekuwa jikoni kwa muda mrefu tangu akiwa Naibu Meya baada ya hapo amekuwa mjumbe kamati kuu ya chama.

Yaani jikoni kabisa hii imepelekea mpaka Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amiri jeshi mkuu kumuamini na kumpa uwaziri katika wizara nyeti sana ya ardhi, wana ukonga Mungu atupe nini tena ukizingatia maeneo yote niliyoyataja hapo juu yana migogoro ya ardhi mpaka kupelekea baadhi ya maeneo kuitwa maeneo ya uvamizi.

Mimi nashauri tuendelee kumng'ang'ania huyu home boy kwani yeye ndiye atatuvusha na kutupeleka nchi ya ahadi sababu ukonga anaijua vizuri na pia anaushawishi mkubwa hata kwa mkuu wa nchi na mamlaka zote, tusiache lulu hii ipotee.. kumbuka amepewa dhamana ya ardhi nchi nzima ya Tanzania.

Jimbo la Ukonga litakuwa tofauti baada ya muda mfupi sana.

Naomba kuwasilisha
 
Jerry ni tapeli ukonga ndio jimbo lenye barabara mbovu hapa dar na hatujawahi kumsikia akiyazungumzia matatizo ya ukonga huko bungeni.waziri wa ardhi lakini jimbo lake lina migogoro ya ardhi
 
Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi naye jua siasa za ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana ukonga kuwa tuna muhitaji Jerry kuliko kitu chochote.

Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini na suluhu, ikumbukwe kuwa jambo la Ukonga lipo Wilaya ya Ilala, wilaya ambayo ni kubwa yaani inaanzia kariakoo mpaka chanika pia imepakana na kisarawe mkoa wa pwani kwa miaka yangu yote ambayo nimeishi ukonga nimegundua changamoto zifuatazo mosi ni miundo mbinu.

Tatizo la miundo mbinu ni kubwa kuliko tunavyofikiri kwani wakati wa masika watu hulazimika kupanga vyumba mjini kuepuka changamoto za usafiri ambapo huwa hakufikiki hapa naongelea maeneo kama mbondole,viwege, magole chakenke nk kwa watu wasio na akili lawama hizi huwa wanamtupia mbunge.

Bila kujua historia ya jambo husika wala kujua taratibu za serikali na michakato ya kumpata mzabuni nk, sababu ya kuwaelekeza wana ukonga kwamba tunamuhitaji Jerry ni kwamba huyu jamaa amekuwa jikoni kwa muda mrefu tangu akiwa Naibu Meya baada ya hapo amekuwa mjumbe kamati kuu ya chama.

Yaani jikoni kabisa hii imepelekea mpaka Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amiri jeshi mkuu kumuamini na kumpa uwaziri katika wizara nyeti sana ya ardhi, wana ukonga Mungu atupe nini tena ukizingatia maeneo yote niliyoyataja hapo juu yana migogoro ya ardhi mpaka kupelekea baadhi ya maeneo kuitwa maeneo ya uvamizi.

Mimi nashauri tuendelee kumng'ang'ania huyu home boy kwani yeye ndiye atatuvusha na kutupeleka nchi ya ahadi sababu ukonga anaijua vizuri na pia anaushawishi mkubwa hata kwa mkuu wa nchi na mamlaka zote, tusiache lulu hii ipotee.. kumbuka amepewa dhamana ya ardhi nchi nzima ya Tanzania.

Jimbo la Ukonga litakuwa tofauti baada ya muda mfupi sana.

Naomba kuwasilisha
Wewe mtoa Maada ni Mpumbavu kabisa au hukai Ukonga. Nenda kuanzia Moshi Bar uone mahandaki Barabarani. Acha kusifia mambo ya kijinga. Jerry is a disgrace to us.
 
Tunamuangalia tu watu tupo huku tangu kipindi. Kile wamama wanaouza mchicha pale mombasa, tangu road ya mazizini ikiwa vumbi tupu.
Barabara inaishia relini huko kwenda mbele ni uozo mtupu
 
Unajua historia ya moshi bar wewe? Angalia kwenye Town plan ile siyo residential area ile ni industrial area mmefosi mmejazana halafu wengine wakabadilisha Town plan serikali imeshindwa kubomoa nyumba zote na sasa mnaanza kumlaumu mbunge kwani yeye ndiyo mbunge wa kwanza huko kulikuwa na mama Marehem anaitwa Mwaiposa unamkumbuka? Ambaye aliwahi kuwambia wananchi wasimletee kero kwani hajashinda kwa kura haya alikuja Waitara akiwa chadema pia akaja Waitara akiwa CCM walifanya nini? Unataka Jerry atoe hela yake akujengee wewe barabara na umehamia huko industrial area kwa ufala wako...usinichafue ndugu
 
Tunamuangalia tu watu tupo huku tangu kipindi. Kile wamama wanaouza mchicha pale mombasa, tangu road ya mazizini ikiwa vumbi tupu.
Barabara inaishia relini huko kwenda mbele ni uozo mtupu
Kwanza kwanini umehamia sehemu haina barabara? pili kazi ya mbunge siyo kujenga barabara bali ni kulifikisha suala bungeni na ameshafanya hivyo mpaka akapendekeza kuwe na tozo ya shilingi Mia kwa kila lita ya mafuta ili atengeneze barabara baada ya kuona serikali haina bajeti nne Jerry amepambana ambapo barabara iko kwenye plan kutoka mwembeni mpaka msongola, na kutoka tariani mpaka njia nne, na kutoka njia nne mpaka bomba mbili uwe unafuatilia mambo..kisha ukome kuhamia industrial area halafu uanze kumlaumu Mbunge akuletee miundo mbinu..
 
Ni wapi huko hujawah hata kuishi ukonga unasoma tu vtabu
 
Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi naye jua siasa za ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana ukonga kuwa tuna muhitaji Jerry kuliko kitu chochote.

Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini na suluhu, ikumbukwe kuwa jambo la Ukonga lipo Wilaya ya Ilala, wilaya ambayo ni kubwa yaani inaanzia kariakoo mpaka chanika pia imepakana na kisarawe mkoa wa pwani kwa miaka yangu yote ambayo nimeishi ukonga nimegundua changamoto zifuatazo mosi ni miundo mbinu.

Tatizo la miundo mbinu ni kubwa kuliko tunavyofikiri kwani wakati wa masika watu hulazimika kupanga vyumba mjini kuepuka changamoto za usafiri ambapo huwa hakufikiki hapa naongelea maeneo kama mbondole,viwege, magole chakenke nk kwa watu wasio na akili lawama hizi huwa wanamtupia mbunge.

Bila kujua historia ya jambo husika wala kujua taratibu za serikali na michakato ya kumpata mzabuni nk, sababu ya kuwaelekeza wana ukonga kwamba tunamuhitaji Jerry ni kwamba huyu jamaa amekuwa jikoni kwa muda mrefu tangu akiwa Naibu Meya baada ya hapo amekuwa mjumbe kamati kuu ya chama.

Yaani jikoni kabisa hii imepelekea mpaka Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amiri jeshi mkuu kumuamini na kumpa uwaziri katika wizara nyeti sana ya ardhi, wana ukonga Mungu atupe nini tena ukizingatia maeneo yote niliyoyataja hapo juu yana migogoro ya ardhi mpaka kupelekea baadhi ya maeneo kuitwa maeneo ya uvamizi.

Mimi nashauri tuendelee kumng'ang'ania huyu home boy kwani yeye ndiye atatuvusha na kutupeleka nchi ya ahadi sababu ukonga anaijua vizuri na pia anaushawishi mkubwa hata kwa mkuu wa nchi na mamlaka zote, tusiache lulu hii ipotee.. kumbuka amepewa dhamana ya ardhi nchi nzima ya Tanzania.

Jimbo la Ukonga litakuwa tofauti baada ya muda mfupi sana.

Naomba kuwasilisha
Ukonga unayoiongelea ndugu yangu ni ipi, mbona pamekaa vizuri? Sehemu nyingi Jimbo la Ukonga actually ni taasisi za Taifa tunajivunia - magereza, Airport, TAZARA, mnada wa ng'ombe, Police Air Force, Puguseco, SGR ishapita na mwendokasi iko TAZARA. Si ingekuwa bora wana Ukonga mkajivunia Mbunge Jerry naye ni taasisi ya Taifa, presidential material, anahudumia Watanzania kwa ujumla wao kuliko abaki kufukuzana na bodaboda wa Kajiungeni?
 
Smart Gin hizo akili yako inaharibika unasema nn ukienda kuongea huo ujinga kivule na makofi utapigwa Kama anakununulia pombe kunywa Ila acha kuropoka....
 
  • Thanks
Reactions: xox

Similar Discussions

Back
Top Bottom