Dkt Nchimbi kashafeli nafasi ya Katibu Mkuu CCM

ChawaWaMama

JF-Expert Member
Jan 16, 2023
1,716
3,177
GTs,

Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM.

Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi.

Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt. Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt. Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.

Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa.

Akiutambua huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
 
GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.

Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi 😅😅🙏

JPM styles ! 😅😂🙏
Ngoja Tusubiri tuone !
 
GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.

Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Ccm ndio haina mvuto kwa vijana. Hawa matapeli ni sehemu ya ufubavu wa ccm.
 
Nchimbi kweli nimeona hamna kitu sikutarajia kama Yuko hivyo, kiongozi unàsema kwamba unasikiliza wenye akili pekee yake hiyo siyo kauli nzr
 
GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.

Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Ujinga mtupu, hili nijukwaa la GT sio lawadudu kamawewe Tena mdudu mchafu kabisa mnyonyadamu chawa!!
 
Ni kweli tatizo kubwa la Dkt Nchimbi hatambui siasa za kulindana hazina mvuto kabisa. Yaani kizazi cha wapiga kura wa sasa wanataka kuona viongozi wanawajibika.
Hakuna uwezakano wa ccm kuendelea kuwepo bila kulindana. Kizazi Cha wapiga kura kipi, wakati Tanzania hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura? Ww zungumzia kizazi Cha walinda chaguzi za wizi, sio Cha wapiga kura.
 
Back
Top Bottom