Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
Waziri_Bashe.jpg

Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo

Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari.

Akizungumza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kutokana na mvua hizo, kiwango cha miwa kinachovunwa kimeshuka kwa wastani wa asilimia 25 hali iliyoathiri shughuli za uzalishaji na kupelekea upungufu ulioleta athari kwenye soko.

“Mchakato wa uvunaji wa miwa huvunwa kwa mashine maalumu kutoka mashambani. Mvua zilivyokuwa nyingi zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji, na hivyo kuathiri mfumo mzima wa uchakataji kiwanda kama Kilombero ambacho kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 700 kwa siku, sasa kinazalisha tani 250, Kagera Sugar kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 500 kwa siku sasa kinazalisha wastani wa tani 200 mpaka 300,”

Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema hatua ya kwanza iliyochukua ni kuruhusu uagizaji wa sukari wastani wa tani laki 1 ambao umepewa viwanda nchini pamoja na kuwaagiza wenye viwanda na wasambazaji kuhakikisha wanasimamia usambazaji bila kumuumiza mlaji.
=====================================================================
Due to the shortage of sugar in the country, the government has attributed the deficit to the ongoing El Nino rains affecting the entire sugarcane harvesting and processing system, leading to a decline in production. Speaking on the matter, Minister of Agriculture, Hussein Bashe, stated that the excessive rainfall has resulted in a 25% decrease in the quantity of harvested sugarcane, disrupting production activities and causing a shortage in the market. The impact is particularly noticeable in major sugar-producing factories such as Kilombero, which has seen its daily production capacity drop from 700 to 250 tons, and Kagera Sugar, which now produces an average of 200 to 300 tons compared to its previous 500 tons per day.

In response to this situation, the government has taken initial steps by permitting the importation of approximately 100,000 tons of sugar, allocated to local factories. Additionally, industries and distributors have been instructed to oversee distribution without causing harm to consumers.
 
View attachment 2877600
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo

Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari.

Akizungumza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kutokana na mvua hizo, kiwango cha miwa kinachovunwa kimeshuka kwa wastani wa asilimia 25 hali iliyoathiri shughuli za uzalishaji na kupelekea upungufu ulioleta athari kwenye soko.

“Mchakato wa uvunaji wa miwa huvunwa kwa mashine maalumu kutoka mashambani. Mvua zilivyokuwa nyingi zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji, na hivyo kuathiri mfumo mzima wa uchakataji kiwanda kama Kilombero ambacho kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 700 kwa siku, sasa kinazalisha tani 250, Kagera Sugar kilikuwa na uwezo wa kuzalisha tani 500 kwa siku sasa kinazalisha wastani wa tani 200 mpaka 300,”

Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema hatua ya kwanza iliyochukua ni kuruhusu uagizaji wa sukari wastani wa tani laki 1 ambao umepewa viwanda nchini pamoja na kuwaagiza wenye viwanda na wasambazaji kuhakikisha wanasimamia usambazaji bila kumuumiza mlaji.
Baada ya kuona hayo badala ya kuagiza sukari nje mkaamua kuacha ili tuuziwe kilo 5000?? Hii ni akili au matope?
 
Hii nchi haiwezi kuendelea. Waziri wa Tanesco(nishati) anaomba mvua inyeshe azalishe umeme (na ikinyesha kweli hana hata uwezo wa kuzalisha umeme wa uhakika) huku waziri wa Kilimo anasali kuomba mvua isinyeshe ili avune miwa atengeneze sukari.

Huu ni utawala uliofitinika.......
 
Ippo siku tu watu wataingia road na mapanga
 
Back
Top Bottom