Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya...
Utangulizi
Political propaganda ni taaluma kama taaluma zingine. Inapofanyika kwa umakini huleta matokeo. Lakini inapofanyika unprofessionally kama UWT wanavyofanya hapa kwa kuwatumia hawa...
Tunakumbushana tu kuwa mchakato wa Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ndio Umeshaanza kwa Miswada ya marekebisho ya sheria za Uchaguzi kupelekwa bungeni
Hivyo basi agizo la...
Baada ya Mkuu mpya wa KKKT, Askofu Malasusa kutoa kauli kwamba hajalelewa kuwa kinyume na serikali kuliibuka maneno makali na shutuma kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA. Askofu Shoo mkuu aliyestaafu wa...
https://www.youtube.com/watch?v=0ws8xgGKvhw
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Utawala, Katiba na Sheria, Joseph Mhagama leo Januari 22, 2024 amezungumza na vyombo vya Habari ambapo ameeleza...
Mkuu, nakileta kwako kilio Cha sisi wazazi WALALAHOI tunaosomesha watoto katika shule ya Msingi JUHUDI, kata ya Lukobe.
Mheshimiwa, sina uhakika kama Una taarifa zozote kwamba ndani ya kama...
Rais Samia amesema Vijana wanaojiunga na makundi ya Kigaidi nchi za nje wanatoa taswira mbaya kwa nchi yetu hivyo ni lazima wadhibitiwe
Rais amesema haipendezi kusikia kuna Vijana wa kitanzania...
2015 katika hali ya kushangaza na kukosa hekima Chadema wakamchukua mzee Lowasa wa CCM agombee Urais na mzee Duni wa CUF awe mgombea mwenza
Maana yake Chadema kama " Chadema" haikuwa na mgombea...
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine...
Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu!
Inakuaje kinyume watu wakitaka...
".....Nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia."
"...Endelea kutatua changamoto za...
Salam ndugu zangu,
Mwaka mwingine wa uchaguzi wa Serikali za Mtaa umefika. Ni wazi kwamba viongozi wetu tulionao walitoa ahadi mbalimbali Uchaguzi uliopita tukawaamini na kuwapa nafasi.
Vipi...
Jana wakati wa ibada ya kumuingiza kazini Askofu Malasusa nilishangaa kuona tena Rais Samia akiingia na jukwaa lake la kimamlaka pamoja na kiti chake cha kimamlaka licha ya kwamba tulishawahi...
Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Upendo Peneza ameitisha mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar na huenda akatangaza uamuzi mgumu.
More to follow
============
UPDATES:
=> Upendo...
Mara ya kwanza kumwona na kumsikiliza live ilikuwa Kakola Kahama,mara ya pili juzi Nyang'hwale,nimemsoma akiwa Uganda na aliyekuwa kiongozi mathubuti wa chama pinzani Besigye na kwenye mijadala...
Wengi mtakuwa mlisikia juu ya ajali mbaya niliyopata mimi na makamanda wengine watatu tukielekea kwenye mkutano wa hadhara, Geita. Ni moja ya ajali mbaya kiasi kwamba kila mtu akiona gari...
Kwa hakika nimesikiliza mchango wa mbunge Upendo Peneza leo bungeni, nakiri kuwa ni moja wa wadada wabunge na vijana wenye uwezo mkubwa sana. Ameongelea ambo mengi sana kuhusu Matumizi ya Service...
Mh. Upendo Peneza mbunge wa Geita viti maalum, na Diwani wa Kata ya Kasamwa wamekamatwa jioni hii....
Wako kituo cha polisi Geita Mjini...
Sababu bado hazijajulikana. Nitawajuza kitakachojiri...
CHADEMA ina maana mmesahau ya Arusha miaka kadhaa iliyopita? Hamkumbuki kuwa mamluki wa UVCCM na baadhi ya polisi walitumiwa na CCM kwa kuwavalisha mabomu na kuyalipua mkutanoni na kujeruhi na...
Ni kitu gani ambacho Peneza hana? Umewahi kumsoma Nziga aliyepata kutawala Ndogo na Matamba ambayo ni Angola ya leo? Ni mwanamke pekee ukanda wa Afrika aliyepigana na Mreno na kuiweka nchi yake...