Fikiria, Una Kaka yako, Katekwa .
Unatakiwa ukareport Polisi TUKIO hilo
Unakutana na Habari ya WAZIRI ,anakuambia, Kama unaushahidi wa Utekaji, uniletee hapa !!.
SI TU kuwadharau Wananchi...
Huyu Jamaa amekuwa anazungumza vitu kwa kutishia amani za watu na vyombo vya dola vipo kimya kabisa!
Inaonyesha anapewa nguvu na watu wa juu katika serikali. Ila watambue kuna mwisho wa haya yote...
"Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi...
Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni...
Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.
Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi amesema kuanzia leo Julai 4, 2026 mtu yeyote atakayetamka neno maandamano awe tayari na barua inayomruhusu na awe amefuata taratibu zote za kufanya...
Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia...
Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia...
Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu.
Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga...
Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi.
Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa aliyekuwa dereva wake, Suez Maradufu, leo, Julai 5, 2026. amesema chama chao kina mashaka na kifo cha dereva...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa...
Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu!
==========
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa...
Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana.
Hili jambo la ufisadi nchini ni nadra sana kusikia uhusika watu toka Zanzibar najaribu kuvuta kumbukumbu ya matukio makubwa ya kifisadi yaliyowahi...
Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi.
waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi...
Mwanachama wa JamiiForums, Jakamageta amesema Elimu yetu inaharibiwa na siasa, siku hizi tutashindwa kupata Madaktari wanaofanya right diagnosis and treatment.
"Hospital wamejaa Incompetent...
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki...
Maxence Melo
Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote.
Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.