Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya...
Salaam
Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui.
Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu...
Wanabodi,
Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan...
POLISI ALIYEWACHANA WAZAZI ukweli KUHUSU MALEZI MABOVU (UFIRAJI NA KUCHEZA UCHI) SISI WATIBELI TUNAMPONGEZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kwa Sisi Watibeli hatupendaga lugha ya kupindisha...
Hamjambo!
Unapozungumzia Ukristo basi jua unazungumzia nchi za ulaya Magharibi.
Siasa za ulaya magharibu zinamchango mkubwa katika kuenea kwa ukristo katika nchi nyingi za Bara la Afrika...
Kwanini wanaharakati wa Tanzania kama Mange Kimambi, Maria Sarungi na wanachama wote wa Chadema, wako upande wa nchi za Magharibi kama Marekani licha ya kwamba iko wazi kwamba Marekani ndio...
Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo...
Raisi Samia kaulizwa, ikiwa mnafanya mipango ya biashara na Urusi, mtawezaje kuruka viunzi vta vikwazo vilivyopo au kuna namna mtavizunguka?
Samia akatoa jibu fupi sana, kwamba Tanzania hatuna...
Kuna tukio lililotokea mkoani Arusha, leo Juni 5, 2026 ambapo masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa gerezani walifikishwa mahakamani.
Inadaiwa kuwa kati yao, masheikh 8 waliachiwa huru na mahakama...
Tatizo letu Watanzania ni kuingiza siasa kwenye profession kila idara mnaingiza suasa jeshini, vyuoni nk, hata leo mmepeleka wanasiasa wanini.
Waacheni watoto wacheze mpira, hatutaki kusikia...
Hakuna sababu hata moja ya kuvumilia wanachama wa CCM hususani wabunge wasio na adabu kwa mamlaka za nchi, na kuendelea kuachwa tu akidunda kama mwana ccm, hali ya kua amezua taharuki, amefanya...
Kilwa kivinje iliyokuwa ngome kuu ya Act wazalendo sasa ni Chadema tupu.
Ikumbukwe mpaka sasa kila inakoenda kufanya mikutano yake Chadema inapata uungwaji mkono na wananchi kwa asilimia mia👇
Mwanahabari Mkongwe Nchini Tanzania Bw. Paschal Mayalla amesema kikawaida katika dhana ya usaliti kuonekana jambo baya, pale inapotokea watu wanapanga mambo mabaya na maovu, yeyote atakayejitokeza...
Muswada mpya wa vyama vyote viwili (bipartisan) unalenga kuielekeza serikali ya Rais Donald Trump kufanya mageuzi makubwa katika uhusiano wa Marekani na Tanzania, kufuatia msako wa kikatili...
Chama cha ACT Wazalendo kimekilaumu hadharani Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kishapu kikidai wanashirikiana kuwakamata, kuwatesa na kuwanyanyasa wananchi kwa sababu tu...
BARUA YA WAZI: Kuelekea kwenye Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, Mbio za AI, na Mgogoro wa Ajira Barani Afrika
Kwa Mamlaka za Kiserikali na Watunga Sera,
Kutumia nguvu za kidola na vitendo vya...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya utekelezaji wa ratiba yake ngumu huko nchini Urusi aliulizwa swali na moja ya muendeshaji wa majadiliano (moderator) kwamba;
Tanzania inataka kupanua...
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.