Ukimya wake una maana gani kisiasa baada ya kurejea Chadema akitokea NCCR-MAGEUZI, tofauti kabisa na makelele ya wanasiasa wengine wanao tangatanga kama vile mpayukaji Peter Msigwa, anae...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amesema serikali iliyopo madarakani kuwa na akili mgando kutokana na kukaa madarakani kwa muda mrefu bila...
Hebu Fikiria kwa sekunde moja.
Unatawala moja ya mataifa yenye nguvu zaidi barani Ulaya. Kila siku unajadili siri za vita, diplomasia, NATO, na mustakabali wa taifa lako. Pembeni yako amesimama...
Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta.
Nimesikiliza...
"Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru...
Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris.
Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau.
Msiogope. Huko...
Mbunge wa Viti Maalum (Mkoa wa Njombe) kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amesema madai ya kwamba Bunge la sasa ni "Bunge haramu" yanatokana na namna uchaguzi mkuu...
Mbunge wa Viti Maalum (Mkoa wa Njombe) kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amesema Tanzania imeacha kuongozwa na misingi ya sheria katika baadhi ya masuala na badala yake...
Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l,
===
1. $1 Trilioni Club inawezekana
Historia...
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi...
Hamjambo wote!
Kwa wale waliosoma Jiografia hasa kwenye masuala ya Spatial and settlements distribution mtakubaliana na mimi kuhusu jambo hili.
Kila sehemu, Mahali Ina style yake ya ujenzi...
PPP IMEONGEZA WINGI WA MIZIGO BANDARI YA DAR ES SALAAM MARADUFU-KAFULILA.
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akizungumza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini...
Imagine hii ni benki Moja tuu ,Bado zingine kibao.BoT waeleze hizo pesa Huwa wanazipeleka wapi kama sio wanapita nazo?
My Take
Lazima Siri iendelee kuwepo kuhusu Mali na pesa Kwa wanandoa maana...
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar...
Sheikh Mwaipopo akiwa amezungukwa na baadhi ya vijana hao,anasema kuwa kikosi chao tayari kimesambazwa na kushika hatamu katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa...
Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Patrobas Katambi amewataka wafanyabiashara, wajasiriamali, waendesha bodaboda na bajaji pamoja na wananchi wote kuendelea na shughuli zao za kiuchumi kama kawaida...
Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.