Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,572
Kwa namna My Mbunge huyu wa Visiwani alivyoongea ni dhahiri hakuna maelewano kati ya Rais na Makamu Wake na kati ya Viongozi wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Maneno ni makali hata wabunge wameogopa kupiga makofi! Je hawajafurahishwa? Au ni mpasuko mwingine kati ya Wabunge wa Bara na Visiwani? Tutatoboa 2030 tukiwa salama?