Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
2 Reactions
5 Replies
289 Views
Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe. Haujitaji mtu kuutetea. Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
2 Reactions
5 Replies
131 Views
Wanasiasa waambiwe kuwa bila uwepo wao hakuna kitakachokwama, hakuna kitakachoharibika. Huu ukweli hawautaki kabisa wanasiasa Kuna mwanasiasa mmoja sasa hivi marehemu, jamaa aliaminishwa kuwa...
0 Reactions
9 Replies
189 Views
Mama Samia yupi fake 2021-2022 au 2024-2025?? Yule wa miaka ya 2021-2022 au wa sasa? Maana tabia na mwenendo nitofauti kabisa. Kutoka USA na China sasa ameenda Russia. Kutoka kuwa kipenzi cha...
1 Reactions
3 Replies
92 Views
Leo john Emanuel Nchimbi, amesoma meseji aliyotumiwa na Hayati magufuli ya kumjuza yakuwa hawezi mwacha kamwe maana aliisha muaidi kumpa cheo. Leo Nchimbi wakati anasa.meseji.yake alipoteuliwa...
2 Reactions
8 Replies
404 Views
Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama...
9 Reactions
17 Replies
377 Views
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Leo ni siku ya Jumapili ambayo ni siku ya ibada kwa Wakristu. Naomba...
6 Reactions
23 Replies
6K Views
Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama. Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki...
7 Reactions
21 Replies
434 Views
Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Kama kuna kipindi ni kigumu kwa wapenda maendeleo wa nchi hii basi ni kipindi hiki hadi 2030 (hatujui katikati hapo nini kitatokea) Naamini kabisa bungeni hakuna jambo la msingi litajadiliwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Soka na CCM ni mbingu na aridhi Wakati mashabiki wa CCM wakihitaji kupelekewa maloli ya bule vijijni kimokela huko na mbagala kwa msewe, Boko na Magomeni mapipa ili kuja kujaza viwanja vya...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Kwa sasa hivi Jiji la Dar halina mwenyewe. Awamu ya 6 iko Dodoma, Dar itajiju. Katikati ya Jiji kuna mahandaki kama tuko Bulyanhulu machimboni. Mama anatoa Fedha lakini sijui zinaliwa na nani?
14 Reactions
52 Replies
978 Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi. Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi...
1 Reactions
Replies
Views
Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali...
11 Reactions
32 Replies
538 Views
Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile...
3 Reactions
7 Replies
316 Views
Habari zenu wakuu!!! Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli...
9 Reactions
56 Replies
737 Views
  • Redirect
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo...
0 Reactions
Replies
Views
Hii ikimaanisha kwamba, wabunge wote zaidi ya 95% wa CCM walishinda viti vyao kwa kishindo cha zaidi ya 90% ya kura zote, dhidi ya wapinzani, na kumuwezesha mgombea uraisi wa CCM kushinda kirahisi...
2 Reactions
31 Replies
372 Views
Daaaa! Picha linaanzia figisu za mzee Magu kuwanunua wanachadema akiwemo Mashinji, Lijualikali, Nassar, na wengine wengi Picha la kiburi linasogea mpaka kwa uchaguzi wa serikali ya mtaa! Picha la...
22 Reactions
58 Replies
999 Views
  • Featured
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za...
48 Reactions
277 Replies
7K Views
Back
Top Bottom