Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaandika Mwanaharakati Maria Sarungi kupitia ukurasa wa X: Ni kwa matumaini makubwa ya ukombozi wa Tanganyika kwamba vijana wetu wa mstari wa mbele GenZ wameandamana na kuandamanisha vyombo...
24 Reactions
83 Replies
2K Views
Mpaka sasa hivi dunia nzima ya Western World ie Europe and the Americas macho na masikio yao yako hapa TANGANYIKA. Haya ni mafanikio makubwa. The world knows the fragile political situation in...
29 Reactions
87 Replies
2K Views
Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa...
5 Reactions
18 Replies
550 Views
Asanteni Wana Dar es salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku zingine, ishara nchi haiko kwenye amani. Another loss kwenye utawala wa Samia hadi hii ifirisike.
22 Reactions
49 Replies
1K Views
KISWAHILI NI URITHI NA NGUZO YA UMOJA AFRIKA MASHARIKI, VIONGOZI WATOA WITO WA HATUA ZA VITENDO. Maadhimisho ya 5 ya Siku ya Kiswahili Duniani yamefikia kilele jijini Bujumbura, Burundi, huku...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Ninaitwa Daniel Yohana Mussa, na napenda kuweka wazi kuwa ninaungana na kauli za Karori Jacob kuhusu umuhimu wa Jeshi la Polisi kuwatambua waandishi wa habari na kuwapa ushirikiano wanapotekeleza...
3 Reactions
2 Replies
97 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema hali ya nchi ni salama akiwashukuru Watanzania kwa kutunza amani. Waziri Katambi ameyasema hayo alasiri ya leo Jumanne, Julai 7, 2026 baada ya...
0 Reactions
4 Replies
111 Views
Jeshi la Polisi Tanzania limesema limepokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari na wananchi wakitaka kufahamu hali ya usalama nchini, na limethibitisha kuwa hali ya usalama inaendelea kuwa...
1 Reactions
6 Replies
132 Views
WAZIRI MKUU: TUTAFUTE MBINU MPYA ZA KUKIENEZA KISWAHILI WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuna haja ya kutafuta mbinu mpya ya kukieneza Kiswahili baada ya kuwa kimepata hadhi ya kimataifa...
3 Reactions
3 Replies
95 Views
Wanabodi, Hili ni Hakikisho la Kiusalama, kesho hali ni shwari kabisa, usalama umeimarishwa!, Umetolewa Mwito, Wananchi tujitokeze kwa wingi, kwenye Maonesho ya Saba Saba!. ============ Mheshimiwa...
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Wakuu, nipende kuwatangazia kuwa siku ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 (9/9), kutakuwa na maandamano makubwa Tanzania nzima. Maandamano haya yatakuwa yakushtukiza, yaani Kila mtanzania ataweka hii...
8 Reactions
62 Replies
907 Views
HONGERENI CHADEMA, MMEWAITA NA WAMEJAA KWENYE TARGET KWA MARA YA PILI Haina shaka yoyote tena kuwa tishio la kuifungia CHADEMA kwa kumtumia Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza na...
6 Reactions
8 Replies
321 Views
Kutokana na tishio la Maandamano Makubwa kufanyika Nchi nzima tarehe 7.7 ni wazi kabisa sasa kwamba Maonesho ya kimataifa ya biashara yanayofanyika kila mwaka na kufikia kilele chake July 7...
39 Reactions
94 Replies
3K Views
  • Featured
Januari 16, 2026 WASHINGTON, D.C. — Ikikabiliwa na uangalizi wa kimataifa kufuatia matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025 ulioharibu sifa yake, Serikali ya Rais Samia imezindua...
21 Reactions
115 Replies
6K Views
Wakuu, Katika ulimwengu wa siasa na diplomasia za kimataifa, taswira ni kila kitu. Lakini taswira hiyo inagharimu kiasi gani, na ni nani anayelipa ankara hiyo? Uchunguzi wa kina umebaini...
7 Reactions
13 Replies
423 Views
Wakuu umuofia kwenu! Nawasilimu kwa jina la Tanzania...... Leo Watanzania wameionyesha dunia kuwa sio "cheap" Watanzania huwa hawashirikiani na jambo wasilolijua mzizi wake, unaweza...
2 Reactions
5 Replies
190 Views
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameihimiza Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuacha kutegemea ukusanyaji wa mapato pekee na badala yake kukumbatia ubia kati ya...
3 Reactions
9 Replies
278 Views
Ameandika Dr. Godbless Charles Na: Godbless Charles Kwa Watanzania wengi, tarehe 7 Julai ni siku ya kumbukumbu ya kihistoria. Lakini kwa wachumi, wafanyabiashara na wawekezaji, tarehe hiyo ni...
1 Reactions
3 Replies
161 Views
Back
Top Bottom