Watanganyika tunamuunga mkono Yuda Iskariote. Neng'enekeni tu

Watanganyika tunamuunga mkono Yuda Iskariote. Neng'enekeni tu

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,031
Hehehee!

Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha!

Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha kwa uroho wenyu wa madalaka. Na bado.
Mwambieni mwambieni mali yake bado yaliwa. Na bado.
 
1780469175205.png
 
I wish wangefikia mpaka hatua ya kuuana wenyewe kwa wenyewe. Wasiishie kwenye maneno tu.
 
Baba, kaka pia... Kama ni wewe uko targeted na ndie unaye onekana kuwa ni Yuda

Kama utaiona sms hii, ushauri wangu....

Kila nafasi anayoipata mtu inakusudio mbele ya Mungu, kama Mungu ndie aliyepanga ufike hapo juu, Hata nafasi hiyo ukiiachia atakupa nafasi nyingine hata kama siyo Leo, hata kama siyo sasa ila ipo nafasi ya dhati kutoka kwa aliyekuumba...

Iachie, kwa mustakabali mzima wako binafsi na kizazi Cha Tanzania... Mimi naamni wewe ni mtu' Bora sana.

All the Best Brother 🙏
 
fisiemu wanataka kuhamisha attention.
Wanajifanya kama kwenye chama chao kuna mgogoro.
Wakumbuke tuu october 29%30 haisauliki.
 
fisiemu wanataka kuhamisha attention.
Wanajifanya kama kwenye chama chao kuna mgogoro.
Wakumbuke tuu october 29%30 haisauliki.
Kama wanahamisha kwa mbinu hii watachufuka zaidi, au wao wenyewe wamechoka wanataka kubadili jambo
 
Back
Top Bottom