Makamu wa Rais alipaswa kuwepo uwanjani kumuaga Rais anapokwenda nje ya nchi

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,611
Reaction score
24,169
Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo halikutokea kwani makamu wa rais hakufika uwanjani. Nani amekaimishwa?

Pia tunaona mbunge mmoja kutoka Pemba akionekana kuzungumza kwa mafumbo na kumwita kuwa ni msaliti lakini ni wazi alikuwa akimaanisha makamu wa rais.

Ndugu zangu hili jambo sio dogo hadi kufikia mbunge kumwita makamu wa rais Yuda (msaliti). Nini kinaendelea?
 
Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo halikutokea kwani makamu wa rais hakufika uwanjani.

Pia tunaona mbunge mmoja kutoka Pemba akionekana kuzungumza kwa mafumbo lakini ni wazi anamaanisha makamu wa rais.

Ndugu zangu hili jambo sio dogo hadi kufikia mbunge kumwita makamu wa rais Yuda (msaliti).
Screenshot_20260514-220817~2.png
 
Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo halikutokea kwani makamu wa rais hakufika uwanjani.

Pia tunaona mbunge mmoja kutoka Pemba akionekana kuzungumza kwa mafumbo na kumwita kuwa ni msaliti lakini ni wazi alikuwa akimaanisha makamu wa rais. Ndugu zangu hili jambo sio dogo hadi kufikia mbunge kumwita makamu wa rais Yuda (msaliti). Nini kinaendelea?
kwa katiba yetu, sio muhimu wala lazima hata kidogo gentleman 🐒
 
Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo halikutokea kwani makamu wa rais hakufika uwanjani.

Pia tunaona mbunge mmoja kutoka Pemba akionekana kuzungumza kwa mafumbo na kumwita kuwa ni msaliti lakini ni wazi alikuwa akimaanisha makamu wa rais.

Ndugu zangu hili jambo sio dogo hadi kufikia mbunge kumwita makamu wa rais Yuda (msaliti). Nini kinaendelea?
Ni unafiki kujiweka karibu na mtu anayetengeneza magenge ya kukutuna na kukudhalilisha hadharani, Samia maisha yake aliyoyazoea ya visa vya kwenye uke wenza ameyaingiza ndani ya CCM akiyatumia kumchafua VP. Ngoja waendelee kunyukana tuone na mnafiki namba moja Tanzania Jakaya Kikwete kama ataendelea kuuma na kupuliza kichinichini au ataibuka na kusema lolote.
 
Ni unafiki kujiweka karibu na mtu anayetengeneza magenge ya kukutuna na kukudhalilisha hadharani, Samia maisha yake aliyoyazoea ya visa vya kwenye uke wenza aneyaingiza ndani ya CCM akiyatumia kumchafua VP. Ngoja waendelee kunyukana tuone na mnafiki namba moja Tanzania Jakaya Kikwete kama attendees kuuma na kupuliza kichinichini au ataibuka na kusema lolote.
Bado tu mnamtegemea kikwete, mtu amejichokea huko hata kuwaza sawasawa inaweza kuwa changamoto.
 
Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo halikutokea kwani makamu wa rais hakufika uwanjani.

Pia tunaona mbunge mmoja kutoka Pemba akionekana kuzungumza kwa mafumbo na kumwita kuwa ni msaliti lakini ni wazi alikuwa akimaanisha makamu wa rais.

Ndugu zangu hili jambo sio dogo hadi kufikia mbunge kumwita makamu wa rais Yuda (msaliti). Nini kinaendelea?
Mwana mtandao mwenzao hawezi kua msaliti... chezo ilo la kusimamisha mgombea 2030
 
Kwa shambulio alilofanyiwa na mbuge unafikiri kuna usalama?
 
Hii nafasi asiichezee dr. Nchimbi. Afanye makeke achukue nchi ili kizuka asirudi tena. Vinginevyo Nchimbi hatokula Krismass.
 
Back
Top Bottom