Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
1 Reactions
8 Replies
757 Views
Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba...
0 Reactions
4 Replies
477 Views
Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba 1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa...
6 Reactions
9 Replies
848 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa salaam za mwaka mpya leo tarehe 31 Desemba, 2023. https://www.youtube.com/live/Twr-ddr0U9Y?si=iso-QsJ01OP-z4sz SUALA LA...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
Ni mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwani kilichowaingiza akina Halima Mdee na wenzake bungeni ni ubovu wa Katiba au Uhuni tu wa Wanasiasa? Fikiria Mdee ni Mbunge lakini Katiba ya sasa haimtambui wala Katiba ya Chadema haimtambui...
1 Reactions
5 Replies
466 Views
Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Preamble ipo kwenye heading. Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo. Awali...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican. Nani aende Vatican baada ya kuondoka...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa...
1 Reactions
7 Replies
682 Views
Makamu Rais wa Cuba ameanza ziara ya Kiserikali ya siku 3 Jana tarehe 23 Hapo hapo leo tarehe 24, Rais Samia ameanza ziara ndefu Nje ya Nchi akianzia Indonesia . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Saudi Vision 2030 lays out targets for diversification and improving competitiveness. It is built around three main themes which set out specific objectives that are to be achieved by 2030: A...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye pia ki-cheo ni Jaji, yaani alikuwa mwendesha mashitaka mkuu wa Serikali[DPP],ELIEZA FELESHI akateuliwa na Magufuli kuwa Jaji lakini sijui alionekanaje kwenye...
20 Reactions
106 Replies
6K Views
Nakupa dokezo. Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe. Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na...
14 Reactions
92 Replies
8K Views
CCM YAENDELEA KUVUTIA WAWEKEZAJI MKOA KAGERA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera, ndugu Nazir M. Karamagi amesema Chama Cha Mapinduzi kitaisimamia Serikali kuhakikisha inaendelea...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…