Kama Viongozi hawana Utamaduni wa kuheshimu Katiba basi Katiba Mpya haitakuwa na Msaada wowote. Chadema wanajisumbua!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Kwani kilichowaingiza akina Halima Mdee na wenzake bungeni ni ubovu wa Katiba au Uhuni tu wa Wanasiasa?

Fikiria Mdee ni Mbunge lakini Katiba ya sasa haimtambui wala Katiba ya Chadema haimtambui lakini ni Kiongozi wa Kamati pale bungeni akiwaongoza Wabunge wanaotambuliwa na Katiba ya JMT

Ndio Sababu Huko duniani Wanaishi kwa Imani ya Nikea siyo vijitabu kwa Majina ya Katiba

Chadema fikirini kidunia Zaidi msiwe kama akina Gachagua wa hapo nchi jirani 😂

Mlale Unono!
 
Pumbavu, let the new constitution be there, then if not respected, other measures will follow!
 
Weee na ww sometimes unazingua sana...unataka kufananisha katiba ya chadema na katiba ya nchi???? Mbona kuna kipindi unajitoa ufahamu kiasi hicho?? Hv katiba ya chadema inamuathiri nn mtu wa ccm???? Hv katiba ya Act wazalendo inamuathiri nn mtu wa chadema??? Unataka kufananisha katiba ya chadema na ya nchi??? Hv kwnn unapenda sana kuwatunishia misuli chadema wkt wao hawana hbr na uwepo wako ww???? Kwahiyo chadema wakifanya Mabadiliko ya katiba yao yatamnufaishaje mtu wa ccm??? Punguza kuandika utopolo mkuu
 
Back
Top Bottom