Makonda aivua nguo CCM na Serikali?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye pia ki-cheo ni Jaji, yaani alikuwa mwendesha mashitaka mkuu wa Serikali[DPP],ELIEZA FELESHI akateuliwa na Magufuli kuwa Jaji lakini sijui alionekanaje kwenye hiyo nafasi na akarudishwa ofisi ya AG ila kwakuwa alikuwa na cheo ilibidi apewe uanasheria mkuu ambaye ndio Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.

This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.
Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake!

Jaji Mugasha, Mahakama Ya Rufaa alipinga kuongezewa muda kwa Jaji aliyepo sasa hivi. Wana'nchi wameuchoka na hawataki mfumo wa Mahakama wa sasa, kama wapinzani wameuchoka mfumo na hawauamini hasa kwa kesi zote wanazopeleka kuamuiwa kisiasa, je vipi kwa wananchi wa CCM kuupinga?
 
View attachment 2890894
Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.
This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake.
Ukoo huu karibuni utazama na ile boti ya mhugo🤔
 
kwani hii bongo neno rais linatumika kwa mtu mmoja??? kapige mikwara wana ukoo wenu
Saa chelewa inapitishwa kwenye kishimo na kupekechwa utakuwa unawajibu polisi hivyo.
Usalama wa nchi hauchezewagi ndio maana kama hujui hata wapinzani wataongea mambo yote ila hata sikumoja hujawai kusikia wanasema flani ni raisi, hata kama hawatambui matokeo ila hawataji flani, sasa wewe na SUKUMA GANG endeleeni.
 
Ina maana mpaka wananchi wanaenda kwa mwenezi na kuacha Mahakama, wameshaona huko Mahakamani hapaeleweki....

Mashauri yanachelewa...Ruswa, n.k
Kwamba kila wakienda mahakamani wanataka washinde?
Kesi inachelewa kwa muda gani?
Kesi ya CHADEMA dhidi ya COVID imekaa muda gani? Mbona CHADEMA hawajaenda kushitaki kwa Makonda?
 
View attachment 2890894
Mwanasheria mkuu Elieza Feleshi ameshangaa wananchi kumpelekea Makonda mamalamiko wakati jamaa hayupo kwenye mfumo wa nchi na hana mamlaka ya kuyatatua badala yake ni mahakama.
This is what I was saying.Ziara ya Mwenezi na style yake ni aibu na inaivua nguo serekali.Mtendaji kijiji,Kata,DC,RC,wizara husika,wote wapo,wananchi hawawaamini hadi aje Mwenezi?.Je Mwenezi ni njia sahihi ya kutatua?.Mwanasheria mkuu kaona negative yake.
Nadhani wananchi wana imani na Makonda na si mwingine.
Hata mimi naamini shida yangu itakwisha nikimuoma Mwenezi kuliko waziri wa Tanesco.
 
Nadhani wananchi wana imani na Makonda na si mwingine.
Hata mimi naamini shida yangu itakwisha nikimuoma Mwrnezi kuliko waziri wa Tanesco
Inaonyesha kiwangi kikubwa cha ujinga ulionao mbali na kwamba umesoma UPE na kupata divisio four point 32.
 
Hili hata mimi nimelisema mara kadhaa kuwa anachokifanya Makonda ni kuivua nguo serikali na wakati huo huo yeye binafsi anajijenga.
Makonda yupo sahihi kwa 100%
Kwa sababu hiii;

1. Anajua kuwa ccm inamtumia hasa kuivuta kanda ya ziwa ili ccm ivuke salama 2024.

2. Naye Makonda snaitumia ccm kujijenga.

3. Anajua fika hatatui shida za wananchi bali anaigiza.

Concl: ccm na Makonda wote wanatumiana kila mmoja kufikia malengo
 
Hio ndo 50/50 hamna kazi ya bure
 
Makonda yupo sahihi kwa 100%
Kwa sababu hiii;

1. Anajua kuwa ccm inamtumia hasa kuivuta kanda ya ziwa ili ccm ivuke salama 2024.

2. Naye Makonda snaitumia ccm kujijenga.

3. Anajua fika hatatui shida za wananchi bali anaigiza.

Concl: ccm na Makonda wote wanatumiana kila mmoja kufikia malengo
Kachambua sawasawa. Tatizo halitatuliwi na mtu. Tatizo linatatuliwa na taasisi imara zenye raslimali fedha watu na zenye weledi na maadili yanayotakiwa. Vituo hivyo kulitafutia ufumbuzi tatizo hilo. Vizingatie sifa zinazohitajika kuzifanikisha.
 
Back
Top Bottom