Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican.

Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je, atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo!? Je, ataibusu Pete ya Papa pale watakapokutana? Je, atakwenda kuutetea vipi mkataba wa DP World ambao umeingiwa na hauwezi kuvunjika?

Kwa doctrine ya TEC na majasusi wa Kanisa, Vatican ina majibu yote juu ya Tanzania, watataka kusikia majibu ya Mama na wao kufanya maamuzi yao! Diplomasia ipo kwenye Kipimo.
 
Tuupe ukweli muda nao utasema muda ukiwadia. Je, TEC watakuwepo ama wanajua yule mnangaji asiye vaa viatu kwa ku feki atakuwepo kuwananga?
 
Duh! Kule wanaenda wakuu wote wa mataifa ya dunia, ukijitia mjanja huendi, utaenda kwa magoti. Ile ni dola kuu ya urumi duniani bado ina nguvu zake hakuna mtawala wa dunia hii anayefua dafu mbele yake
 
duh! Kule wanaenda wakuu wote wa mataifa ya dunia, ukijitia mjanja huendi, utaenda kwa magoti. Ile ni dola kuu ya urumi duniani bado ina nguvu zake hakuna mtawala wa dunia hii anayefua dafu mbele yake
Ndiyo Mungu wa Dunia hii ..Siku Mimi nikiwa kiongozi nitavunja hizo protocol tuone atanifanya nini
 
Back
Top Bottom