Swali fyatu: je, Makonda anafunua udhaifu wa IDARA na mamlaka ya Uteuzi?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Preamble ipo kwenye heading.

Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo.

Awali yule dikteta alikuwa anazifanyia maamuzi palepale. Lakini Hangaya alishasema kuwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.

Kuna syndicate ya uhuni kwenye watumishi wa umma hususani wateule na wakuu wa idara mbalimbali. Mengi ya malalamiko ya wananchi yanatokana na maamuzi mabovu ya wateule, au ubabe au dhuluma au ubadhirifu unaopelekea watu kupokwa haki zao.

Lakini kwa sisi raia pacha wa Cuba na Tz tumeona mbali zaidi na kujiuliza maswali kadhaa ikiwemo haya

  1. Idara ambayo imejaza maofisa lukuki ngazi ya wikaya na mikoa, ina maana hawakusanyi taarifa za utendaji mbovu unaodhalilisha mamlaka ya uteuzi?
  2. Kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mkoa ina maana hawayaoni haya matatizo na kuyapatia ufumbuzi kwa wakati?
  3. Tuseme labda IDARA wanakusanya taarifa na kuzifikisha kwenye meza ya mamlaka ya uteuzi. Je zinapuuzwa au zinawekwa akiba kwa minajili ya mtaji wa kisiasa?
  4. Sote tunajua Katiba na Sheria za nchi zimepelekwa likizo ya lazima na watawala wetu. Je wanajisikiaje kuona asilimia kubwa ya kero za wananchi zinasababishwa na wateule wa Rais?
Maswali ni mengi, lakini haya machache yatufungue akili kidogo

Pascal Mayalla Retired Ritz Demi Mamndenyi ChoiceVariable Lucas mwashambwa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Myebusi Mweusi Erythrocyte Earthmover figganigga Samiaagain2025 CM 1774858 NANGA WA DEPO johnthebaptist FaizaFoxy Tatabhyala Mzee Mwanakijiji Kijana LOGICS KUKU PORI raraa reree Extrovert min -me
 
Mkono ,macho na masikio ya serikali yapo kila sehemu na kila mahali.ndio maana unakuwa unaona mara nyingi Mheshimiwa Rais akitengua uteuzi wa viongozi mbalimbali aliowateua au kuwahamisha au kusimamisha kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa kina. Haya yanatokea ni kwa kuwa mamlaka ya juu inakuwa imepokea taarifa na kuamua kuchukua hatua.

Kumbuka nafahamu kuwa siyo kila taarifa ikishafika mezani lazima ichukuliwe na kunyonywa tu kama dodoki kwa kufanya utenguzi wa mtu fulani au watu au viongozi au kiongozi fulani anayetuhumiwa kwa jambo fulani.

Ni lazima taarifa ichakatwe,ni lazima uchunguzi ufanyike tena kwa kutumia watu wengine tena ili kuianisha ukweli wa taarifa iliyotangulia na ile itakayokwenda kubainika baada ya uchunguzi kufanyika. Nalazima ifahamike kwanini hiki kimefanyika na mhusika .je ni kwa maslahi ya Taifa au maslahi binafsi.

Mambo kama ya Rushwa napo ni lazima uchunguzi na upelelezi ufanyike kwa kina .ndio maana wakati mwingine wanatoka na kutolewa watu wizarani huko kwenda huko halmashauri kufanya uchunguzi juu ya mtandao fulani unaoweza bainika kutafuna pesa za umma.nafikiri hapa unaweza kumbuka kilichotokea kule kigoma pale Mheshimiwa waziri mkuu alipogundua kuwa kuna mtandao wa ufujaji wa pesa za umma ambao umeanzia juu kabisa huko. Haya yanakuwa yanabainika kwa kuwa kuna macho ya serikali ambayo yanaipa serikali taarifa.hivyo fahari kuwa vyombo vyetu vya usalama vipo kila sehemu na vinafanya kazi usiku na machana kuhakikisha kuwa mambo yote yanakwenda sawa kwa maslahi ya Taifa.

Haya ya kudhulumiana mtu na mtu au kucheleweshwa kulipwa madai na halmashauri ni mambo yatakayoendelea kushughulikiwa kila siku,,kikubwa ni kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa na kufichua Vitendo vya dhuluma na unyanyasaji wanavyokumbana navyo katika ofisi za umma ili hatua zichukuliwe.

Serikali ya Rais Samia Ni Serikali ya haki na iliyodhamilia kutenda haki kwa kila mtu bila kujali hali yake .
 
CCM WOTE MBUMBUMBU NI SAWA NA KINYESI
NA WAO SHABIKIA CCM NAO NI NZI
SASA NZI ANAE FATA KINYESI ANA AKILI KWELI
 
Matajibinua sana kuhusu Makonda lakini hamtamuweza. Mkiendelea kubinuka msishangae siku Moja akawepo mtu pale kusini
 
Mkono ,macho na masikio ya serikali yapo kila sehemu na kila mahali.ndio maana unakuwa unaona mara nyingi Mheshimiwa Rais akitengua uteuzi wa viongozi mbalimbali aliowateua au kuwahamisha au kusimamisha kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa kina. Haya yanatokea ni kwa kuwa mamlaka ya juu inakuwa imepokea taarifa na kuamua kuchukua hatua.

Kumbuka nafahamu kuwa siyo kila taarifa ikishafika mezani lazima ichukuliwe na kunyonywa tu kama dodoki kwa kufanya utenguzi wa mtu fulani au watu au viongozi au kiongozi fulani anayetuhumiwa kwa jambo fulani.

Ni lazima taarifa ichakatwe,ni lazima uchunguzi ufanyike tena kwa kutumia watu wengine tena ili kuianisha ukweli wa taarifa iliyotangulia na ile itakayokwenda kubainika baada ya uchunguzi kufanyika. Nalazima ifahamike kwanini hiki kimefanyika na mhusika .je ni kwa maslahi ya Taifa au maslahi binafsi.

Mambo kama ya Rushwa napo ni lazima uchunguzi na upelelezi ufanyike kwa kina .ndio maana wakati mwingine wanatoka na kutolewa watu wizarani huko kwenda huko halmashauri kufanya uchunguzi juu ya mtandao fulani unaoweza bainika kutafuna pesa za umma.nafikiri hapa unaweza kumbuka kilichotokea kule kigoma pale Mheshimiwa waziri mkuu alipogundua kuwa kuna mtandao wa ufujaji wa pesa za umma ambao umeanzia juu kabisa huko. Haya yanakuwa yanabainika kwa kuwa kuna macho ya serikali ambayo yanaipa serikali taarifa.hivyo fahari kuwa vyombo vyetu vya usalama vipo kila sehemu na vinafanya kazi usiku na machana kuhakikisha kuwa mambo yote yanakwenda sawa kwa maslahi ya Taifa.

Haya ya kudhulumiana mtu na mtu au kucheleweshwa kulipwa madai na halmashauri ni mambo yatakayoendelea kushughulikiwa kila siku,,kikubwa ni kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa na kufichua Vitendo vya dhuluma na unyanyasaji wanavyokumbana navyo katika ofisi za umma ili hatua zichukuliwe.

Serikali ya Rais Samia Ni Serikali ya haki na iliyodhamilia kutenda haki kwa kila mtu bila kujali hali yake .
Mkuu
Ulichokifabya ni kudadavua mada na siyo kujibu swali.

Inaelekea umekurupua fikra zako kutoa maelezo yanayoiumbua serikali zaidi.

Soma vizuri swali
 
Mwenezi wa Chadema Ndio mbeba mikoba ya Mwenyekiti kwenye Chopa so ni vigumu wewe kuelewa haya makitu😂
Mbumbumbu wote wanaelewa unavyoelewa wewe.
Swali pale juu linahitaji matumizi ya akili na siyo mihemko ya kifataki fataki
 
Preamble ipo kwenye heading.

Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo.

Awali yule dikteta alikuwa anazifanyia maamuzi palepale. Lakini Hangaya alishasema kuwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.

Kuna syndicate ya uhuni kwenye watumishi wa umma hususani wateule na wakuu wa idara mbalimbali. Mengi ya malalamiko ya wananchi yanatokana na maamuzi mabovu ya wateule, au ubabe au dhuluma au ubadhirifu unaopelekea watu kupokwa haki zao.

Lakini kwa sisi raia pacha wa Cuba na Tz tumeona mbali zaidi na kujiuliza maswali kadhaa ikiwemo haya

  1. Idara ambayo imejaza maofisa lukuki ngazi ya wikaya na mikoa, ina maana hawakusanyi taarifa za utendaji mbovu unaodhalilisha mamlaka ya uteuzi?
  2. Kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mkoa ina maana hawayaoni haya matatizo na kuyapatia ufumbuzi kwa wakati?
  3. Tuseme labda IDARA wanakusanya taarifa na kuzifikisha kwenye meza ya mamlaka ya uteuzi. Je zinapuuzwa au zinawekwa akiba kwa minajili ya mtaji wa kisiasa?
  4. Sote tunajua Katiba na Sheria za nchi zimepelekwa likizo ya lazima na watawala wetu. Je wanajisikiaje kuona asilimia kubwa ya kero za wananchi zinasababishwa na wateule wa Rais?
Maswali ni mengi, lakini haya machache yatufungue akili kidogo

Pascal Mayalla Retired Ritz Demi Mamndenyi ChoiceVariable Lucas mwashambwa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Myebusi Mweusi Erythrocyte Earthmover figganigga Samiaagain2025 CM 1774858 NANGA WA DEPO johnthebaptist FaizaFoxy Tatabhyala Mzee Mwanakijiji Kijana LOGICS KUKU PORI raraa reree Extrovert min -me
Sijaona Lucas akitajwa zaidi ya yeye ku like😃
 
Wacha aendelee kufunua huku Machadema ndio wakiendelea kuteseka 😂😂
 
Mkuu
Ulichokifabya ni kudadavua mada na siyo kujibu swali.

Inaelekea umekurupua fikra zako kutoa maelezo yanayoiumbua serikali zaidi.

Soma vizuri swali
Jibu ni kuwa idara siyo dhaifu na wala hazina udhaifu.nali zinatoa taarifa na taarifa zinafanyiwa kazi na mamlaka. Usilazimishe upewe majibu yaliyo katika akili yako.huo ni ujinga na ujuha.
 
Back
Top Bottom