Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na...
Makonda anawakilisha hisia za Watanzania wengi na anaembeza ajitafakari.
Kama kiongozi analipwa kodi za wanachi, anatumia AC na V8 zitokanazo na kodi ya wanachi, kwanini usihojiwe kwa mustakabali...
Kulingana na Ripoti iliyotolewa na NBS, kwa sensa ya 2022 Tanzania imefikia kiwango cha 83% cha kujua kusoma na kuandika miongoni mwa watu wazima yaani miaka 15 na kuendelea ikiwa ni ongezeko la...
Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo.
Amedai maji wanayotumia Wanamomba...
Wote tumeshuhudia namna Paul Makonda amekuwa jasiri na Hodari kuhakikisha haki za wanyonge zinapatikana lakini kusimamia uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa Umma kote anakopita. Kwa sasa...
This video is Courtesy of SK Media Online TV.
=====================================================
KWA UFUPI;
1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo...
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba
1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa salaam za mwaka mpya leo tarehe 31 Desemba, 2023.
https://www.youtube.com/live/Twr-ddr0U9Y?si=iso-QsJ01OP-z4sz
SUALA LA...
Ni mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango...
Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa
Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe...
Kwani kilichowaingiza akina Halima Mdee na wenzake bungeni ni ubovu wa Katiba au Uhuni tu wa Wanasiasa?
Fikiria Mdee ni Mbunge lakini Katiba ya sasa haimtambui wala Katiba ya Chadema haimtambui...
Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze...
Preamble ipo kwenye heading.
Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo.
Awali...
Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican.
Nani aende Vatican baada ya kuondoka...
Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija.
Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa...
Makamu Rais wa Cuba ameanza ziara ya Kiserikali ya siku 3 Jana tarehe 23
Hapo hapo leo tarehe 24, Rais Samia ameanza ziara ndefu Nje ya Nchi akianzia Indonesia .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Saudi Vision 2030 lays out targets for diversification and improving competitiveness. It is built around three main themes which set out specific objectives that are to be achieved by 2030: A...
Mwanasheria mkuu wa serikali ambaye pia ki-cheo ni Jaji, yaani alikuwa mwendesha mashitaka mkuu wa Serikali[DPP],ELIEZA FELESHI akateuliwa na Magufuli kuwa Jaji lakini sijui alionekanaje kwenye...
Nakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na...