Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania, kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya...
9 Reactions
92 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Nishati ameliambia bunge kuwa Majaribio ya uzalishaji Umeme kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere utakamilika tarehe 16 mwezi huu na hapo hali ya Umeme nchini itatengamaa Naibu Waziri...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
2025 tukienda na mama, umeme si ndo utakuwa wa Ikulu peke yake CCM mnataka 2025 twende na mama, atupeleke wapi kusikojulikana? Tangu amekuwepo hapo, tumepoteza vingapi na bado mnataka aongoze...
6 Reactions
13 Replies
656 Views
Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa . Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa...
22 Reactions
171 Replies
11K Views
Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu! Nyinyi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako. Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi...
1 Reactions
9 Replies
696 Views
Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa...
10 Reactions
114 Replies
8K Views
Mtifuano mkali katikati ya majira tete ya chaguzi za 2024 na 2025 baina ya viongozi waandamizi wa CCM na serikali yake kuhusu mipaka ya kazi na uwajibikaji wa viongozi hao unaleta ukakasi na...
1 Reactions
4 Replies
783 Views
Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi? **Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala...
7 Reactions
59 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Paul Makonda kusimamisha ziara yake kwa siku chache ili kuungana na kushiriki katika ziara ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
“Tunaendelea kuwaomba ifikapo Februari 16 tutakuwa tumekamilisha majaribio kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere na hivyo tunategemea megawati za mwanzo 215 tutaanza kuzipata [...] Tunaomba mwendelee...
1 Reactions
5 Replies
671 Views
Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo. Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali yetu pendwa chini ya Rais wetu Mama Samia Suluhu imekuwa ikitudanganya baadhi ya mambo, na mbaya zaidi serikali yetu imekuwa haituletei mrejesho wa mambo waliyotuahidi. Haya ni baadhi ya...
1 Reactions
2 Replies
445 Views
Kama raia, tanapoyatamini na kuyatafuta maendeleo lazima kuna ukweli tunahitaji kuufahamu vizuri. Mojawapo ni hili la kwamba demokrasia haileti maendeleo, pia udikteta hauleti maendeleo...
4 Reactions
15 Replies
733 Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi. Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakati wa Awamu ya 4 Rais akiwa Kikwete CHADEMA walikuwa Wanafanya sana mikutano ya hadhara tena bila chopa na walipata nyomi. Lakini awamu pamoja na kuruhusiwa na Rais Samia bado hawafanyi...
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…