Naibu Waziri: Mtuvumilie February hii Bwawa la Mwalimu Nyerere litaanza uzalishaji na tatizo la Umeme litaisha!

Mhh.....but shida umeme tanzania huwa tunaambiwa mabwawa na mito kupungua maji siku zote na wala sio kiwango cha uzalishaji kuwa chini


Je hili bwa litatua vipi changamoto hii ya upungufu wa maji unaotokea mara kwa mara?
Uo ndo ukweli mkuu apo ndipo tunapowaza kuna viongoz wananufaika na hali ya kukatikakatik kwa umeme
 
Ahadi ya 16 Februari 2024 kupata umeme wa kutosha.

Natumaini hayatakuwa kama ya kuanza kutumika SGR ya Mturuki kuhama tarehe kila mara!
 
🙌🙌🙌

IMG-20240201-WA0087.jpg
IMG-20240201-WA0088.jpg
IMG-20240201-WA0066.jpg
 
Uo ndo ukweli mkuu apo ndipo tunapowaza kuna viongoz wananufaika na hali ya kukatikakatik kwa umeme
Umeme usipokatika, watauza wapi majenereta yao? Hawakosi sababu za kutuongopea!
Hiyo SGR wametuongopea wee kuwa watafanya majaribio toka mwaka 2021 mpaka hivi leo hii wanasema train haiwezi kufanya majaribiao kwasababu mvua imeharibu miundombinu!! Hawa wezi hawakosi sababu.
 
Naibu Waziri wa Nishati ameliambia bunge kuwa Majaribio ya uzalishaji Umeme kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere utakamilika tarehe 16 mwezi huu na hapo hali ya Umeme nchini itatengamaa

Naibu Waziri amewaomba Wananchi waendelee kuwa wavumilivu katika muda huu mchache uliobaki

Source: EATV
Hivi safari za SGR Dar Moro zime anza?? Nchi ya ahadi zisizo tekelezeka.
 
Back
Top Bottom