Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.



Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa wanakopesha. Hata hivyo amesema ameshalipa madeni yake yote.

Written by Mjanja M1
 
Nimegundua Lema ameanza kuamini kuwa ana aina fulani ya "unabii"..Hii imeanza kuathiri namna anavyoongea na kufikiri..
Ni dalili mbaya ya afya ya akili ..inaitwa "delusional disorder"
Kwamba mtu atakufa ni utabiri? wote tutakufa hilo liko wazi, kingine huku duniani Mungu hana agent au dalali, wala hana sababu ya kutuambia chochote.
 
Nimegundua Lema ameanza kuamini kuwa ana aina fulani ya "unabii"..Hii imeanza kuathiri namna anavyoongea na kufikiri..
Ni dalili mbaya ya afya ya akili ..inaitwa "delusional disorder"
Lema tayari afya ya akili imetetereka , yaani yuko Mirembe day.
 
Huyu jamaa hufurahia sana vifo vya watu walio kinyume na itikadi yake. Hawa wakishika dola tutashuhudia watu wengi sana wakipotezwa.
Hawamu ya Magufuli waliuwawa na kupotezwa wangapi? Au wewe watu ni wale waliomo ndani ya CCM tu? Watekaji wengine mumeamua kuwapa vyeo tena ndani ya chama.
 
Kama aliacha wizi wa magari kipindi akiwa na rasta kaamua kukopa na kufanya biashara basi amebadilika
 
Huyu jamaa hufurahia sana vifo vya watu walio kinyume na itikadi yake. Hawa wakishika dola tutashuhudia watu wengi sana wakipotezwa.
Utaanza wewe kupotea kwa sababu na wewe ulipoteza wenzako..

Kumbuka hii kanuni ktk maisha ya wanadamu hapa duniani, kwamba; "...For every action, there's equal and opposite reaction.."

Maana yake hii ni kuwa, Kila unachotenda Kwa ajili ya wenzako, nawe utatendewa Vivyo hivyo Kwa muda na wakati wake.!

Mfano; Paul Makonda na wenzake aliongoza kikosi cha kwenda kumpiga risasi Tundu Lissu mwaka 2017 kwa amri ya Rais Magufuli by then. Walimpiga na wakadhani wameua, lakini Mungu alimuokoa, hakufa...

Uhakika ni huu, Paul Makonda na wote walioshiriki mauaji hayo, naye atakufa kwa kifo kibaya, cha aibu na maumivu makali sawasawa na alivyofanya Kwa wengine. Mwambieni ajue kabisa ili ajiandae...

Baba yao (The Masterminder) wa mauaji hayo (Magufuli) alishatangulia japo Kwa kulishwa sumu..!
 
Back
Top Bottom