Mishahara ya wakuu wa taasisi zifuatazo ni zaidi ya kufuru..... Hapa ndipo panga la Rais Magufuli linashuka kwa ukali wote
NHC..... 36M
EWURA..... 36M
NSSF......... 36M
TANESCO.... 36M...
Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana...
Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali.
Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri...
1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo...
Mambo ni magumu sana,
Katika uongozi mambo ni tofauti sana.
Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe.
Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao.
Hata...
Kwanini wazee wengi wako CCM kuliko vyama vingine?
Kwanini vijana wengi walokuwa upinzani wakimaliza ujana na kuanza uzee hujongea kwenda kumalizia maisha yao CCM?
CCM kina uhusiano gani na uzee...
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao ni waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu...
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi...
Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za...
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?
Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?
Je, shida zako zimetatuliwa!?
Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais...
Kwanza kabisa nitangulize samahani kwa wale nitakowakwaza kwa uandishi mbovu. Mimi sio mwandishi na leo ni mara ya kwanza kabisa kuandika katika jukwaa hili la siasa.
Mwita Waitara ni mbunge wa...
Kwa wale wote wanao shangaa maigizo ya makonda kukaripia viongozi wa kiserikali wanapaswa kufuatilia na kujifunza asili ya siasa zetu.
Baada ya ziara ya Mwalimu Nyerere uchina na Tanzania kupitia...
Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala.
Ushahidi na Maneno ya Dkt...
Mradi wa EPIC Wawajengea Uwezo Wabunge
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imejengewa uwezo kuhusu Mpango wa DREAMS unaotekelezwa na Mradi wa EPIC ambapo mpango huo unalenga...
KOMREDI RAJABU ABDURRAHMAN ACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA MWEMBENI
"Katika kuitekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 nimechangia Tsh 10,000,000/ (milioni kumi) kwa ajili ya...
16 September 2023
KAZI YA KUIMARISHA TUTA KUZUIA MAJI KUTOROKA CHINI YA UKUTA WA BWAWA LA JNHPP RUFIJI
Engineer amueleza naibu waziri mkuu mheshimiwa Dr. Doto Biteko jinsi wanavyopambana...
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote
Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL...
Kila kitu kimepanda Bei Maisha yamekuwa Magumu kwa Watanzania
Sukari haipo, Petrol, Michele, Unga n.k VYOTE HAVIPO na ukivipata BEI ZAKE HUZIWEZI.
Wafanyabiashara wameushika Uchumi vilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.