Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata...
16 Reactions
76 Replies
4K Views
Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana. Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana...
2 Reactions
6 Replies
526 Views
Tanzania siyo kisiwa hivyo tunahitaji viongozi waliobeba maono ya Dunia ambao wakigonga hodi ubalozi wowote wanafunguliwa mlango Freeman Mbowe amefikia Wakati wa kustaafu lakini Siasa za Tanzania...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimepita katika Ofisi kadhaa za umma ikiwemo Hospitalini. Nimekuta watumishi wa umma katika Ofisi hizo wakiogopa sana ujio wa Makonda kama ilivyokuwa wakati wa JPM. Nimekuta wengi wakijiweka sawa...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala. Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae...
40 Reactions
276 Replies
20K Views
Mbunge wa Nzega Mjnini Bashe (CCM) amelitaka Bunge kuangalia sheria zote ambazo zinamzuia au zinamuwekea Raisi Magufuli kizingiti kwenye kutekeleza majukumu yake ya kuindustrialize nchi yetu basi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jambo hili wabunge mlipeleke Bungeni kisha muunde kamati teule ya Bunge kuchunguza ukweli wa jambo hili na ikithibitika tuhuma hizi ni za kweli Bunge liweke maazimio ya kuitaka serikali ichukue...
14 Reactions
62 Replies
6K Views
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amefunguka na kusema kuwa kwa twakimu mbalimbali ambazo zinatolewa na BoT zinaonyesha mambo hayapo sawa hivyo kuna haja kubwa kwa Serikali kupitia Waziri...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna...
74 Reactions
179 Replies
11K Views
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
1 Reactions
2 Replies
618 Views
Uwepo wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwenye kambi ya Taifa Stars kule Ivory Coast kumeifanya Timu yetu kuweka Historia Mpya kwa kurudi Nyumbani na jumla ya pweinti 2 Ikumbukwe akina Tenga na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa kuhusu kupanda bei kwa sukari huku akiwatahadharisha Wafanyabishara wanaotumia Wanasiasa kuishikilia bango ajenda ya kupanda kwa...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Daima nimemsifu Bashe kwa msimamo wake wa kutokuzuia wakulima kuuza mazao yao mahali popote, iwe ndani ya nchi au nje ya nchi. Kwenye hilo mpaka sasa namwunga mkono. Lakini taarifa kwamba...
28 Reactions
109 Replies
7K Views
Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Sisi wengine ambao hatubebwi na mihemko ya kivyama bali ukweli wa nafasi, tunaona dhahiri kuwa Rais Samia kuna mambo amekosea lakini pia kuna mambo amefanya na anafanya vizuri. Lakini pia kwa...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini). Idara ambayo ni mama ya inchi kama...
12 Reactions
55 Replies
4K Views
Zote tunajua kuwa katiba yetu inamapungufu mengi. lakini sasa wewe kama mtanzania mzalendo ungepewa nafasi ya kuifanyia marekebisho ungetamani jambo gani jipya liwemo na lipi liondolewe ili Sisi...
1 Reactions
13 Replies
630 Views
Mikopo inayotolewa na hazina katika mkoa wa Tabora imejaaa rushwa na ukilitimba. Hii ipo zaidi katika Tabora manispaaa pamoja wilaya ya Uyui ambapo maafisa utumishi wako wazi kabisa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Iko wapi ACT Wazalendo? Iko wapi CUF? Iko wapi NCCR mageuzi? Kiukweli tumebakia na Chadema tu inayowakilisha Upinzani nchi nzima Chaguzi zijazo ni CCM vs Chadema, hilo halina ubishi Mlale Unono 😂
0 Reactions
3 Replies
469 Views
Back
Top Bottom