Leo asubuhi ulikuja kuonana na wazazi na majirani wa shule ya Msingi JUHUDI, kata ya Lukobe, ukiambatana na Mkurugenzi wa Manispaa. Kuja kwako ni kutokana na Jana wazazi wa wanafunzi wa JUHUDI...
Japo siamini kama ni wote, lakini inaonekana kama vile wanaofanikiwa kwenye siasa wana tabia za kipekee kama:
• Bingwa wa kusema uongo
• Mbabe
• Majuzi wa kuiba kura
• Mpenda ushirikina
Ni kama...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameliambia Bunge, Mjini Dodoma kuwa katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2016/2017 hadi Desemba 2023, imewalipa wazabuni na wakandarasi...
Kwa matukio yaliyowahi kuibuka na kusababisha hasira kwa wengi, lakini baada ya muda hali ikawa kimya, inaweza ikawa ni ishara kuwa Watanzania ni watu wa kipekee sana. Ama ni wasahaulifu au wana...
Paul Makonda anazunguka nchi nzima,anafanya maigizo kwa wananchi, kujidai wanaripoti matatizo kwake na yeye kuyatatua ambapo huenda ,so far amepita sehemu ambazo mteuzi wake hajafika.
Mwenezi...
Wapo viongozi wa kisiasa nchini mwetu,ambao wanaonekana kuguswa sana na matatizo ya mtu mmoja mmoja na hivyo kupenda kuwasikiliza hadharani kwenye mikutano yao ya kisiasa.
Hutokea watu wachache...
Kuijenga Tanzania mpya kunahitaji watu mahiri na makini bila kujali asili zao. Yanga na Simba zinafanya vizuri Sasa baada ya kusajili wachezaji wenye ujuzi mkubwa bila kujali uraia wao.
Tanzania...
Cde. Shemsa Mohammed Katika Mapokezi ya Makonda Mkoani Simiyu, Akitawazwa Jina la Bagolole.
KATIBU wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amewasili Mkoa wa...
Hii Ndio taarifa inayojadiliwa zaidi na Wana Mbeya kwa sasa
RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya tarehe 02/02/2024 watasikiliza kero za Wananchi wote wa mkoa huo
Hii inafanyika kabla...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara ,akiwa Shinyanga mjini ametoa...
Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 umepangwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia leo Januari 30, 2024 hadi tarehe Februari 16, 2024. Taarifa ya Bunge imeeleza kuwa Mkutano huu umeongezewa wiki moja...
Hawa waheshimiwa wakati wa kunogesha mada mjengoni hutupia kibwagizo cha Watu kujiajiri Ila wao wapo kwenye Payroll miaka na miaka (na mikopo wanachukua benki kwa udhamini wa ofisi) wakiumwa hata...
Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha...
Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Waziri wa Maliasili wa China Mhe. Sun Shuxian na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 28 Januari...
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa...
Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe...
Ziara ya katibu itikadi uenezi na mafunzo wa CCM siyo ya kubeza. Ziara hii ni karata muhimu Sana kwa Serikali. Nimeona watu wakitoa kero ya kupoteza wenzi wao kutokana na dhuluma ya Mali zao...
Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma...
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu...