Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpango wa kuanza kutumia jamii namba (unique number) kwa ajili ya utoaji wa huduma nchini katika ujenzi wa mfumo wa utambulisho wa kidigitali kufikia uchumi wa kidijitali Wizara ya Habari...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa...
14 Reactions
36 Replies
4K Views
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI ILANI 2020-2025 Vitabu viwili vimechapishwa na vinasambazwa. Uchapishaji wa vitabu vingine...
1 Reactions
2 Replies
447 Views
Serikali ya Rais Samia haieleweki ni serikali ya nini na inasimamia nini, hii ni shida kubwa. Serikali ya awamu ya tano ilikuwa ya viwanda na matendo yake yalikuwa ya kiviwanda ndiyo maana mkoa wa...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
KOMREDI MWAJABU MBWAMBO AONGOZA UWT MKOA WA DAR ES SALAAM KUTEMBELEA IHSAN ORPHANAGE CENTER KIGAMBONI-KIBADA Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es salaam ukiongozwa na Mwenyekiti UWT...
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu " Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA 1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua...
14 Reactions
90 Replies
9K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)...
1 Reactions
4 Replies
736 Views
Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais...
0 Reactions
4 Replies
694 Views
Mishahara ya wakuu wa taasisi zifuatazo ni zaidi ya kufuru..... Hapa ndipo panga la Rais Magufuli linashuka kwa ukali wote NHC..... 36M EWURA..... 36M NSSF......... 36M TANESCO.... 36M...
8 Reactions
355 Replies
73K Views
Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana...
7 Reactions
43 Replies
9K Views
Hili ndilo soko la Kijichi Temeke Dar es Salaam linaloonekana kama limetelekezwa mabilioni ya walipa Kodi yanayoelekea kifia hapo.
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Mambo ni magumu sana, Katika uongozi mambo ni tofauti sana. Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe. Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao. Hata...
1 Reactions
4 Replies
423 Views
Kwanini wazee wengi wako CCM kuliko vyama vingine? Kwanini vijana wengi walokuwa upinzani wakimaliza ujana na kuanza uzee hujongea kwenda kumalizia maisha yao CCM? CCM kina uhusiano gani na uzee...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao ni waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu...
4 Reactions
10 Replies
979 Views
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi...
8 Reactions
79 Replies
6K Views
Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!? Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!? Je, shida zako zimetatuliwa!? Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais...
2 Reactions
5 Replies
658 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…