Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,079
2,262
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
 
Aliyekuambia kuwa ukiombewa ' laana ' ni lazima ikupate siku hiyo hiyo ni nani? Miswahili bhana!!!!!!
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
WaTz bwana leo Gwajima anaonekana jembe siku zilizopita walimuita mhuni
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Kateka watu huko kisha alivyolaaniwa anatangaza na siku ya kuwarudisha, keshaharibikiwa vibaya mno angalia hata maklio yake yalivyovimba!
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Daima laana huwa haiuamui mwanzo wa mtu bali mwisho wake.
Hebu tulieni tuendelee kutazama!
 
Ukiacha 'point' ya vyeti fake aliyoidandia toka kwa mwanadada Mange Kimambi, Gwajima ni mpuuzi wa kupuuzwa kwa kitu, hana cha utumishi wa Mungu wala utukufu wowote, ngao kubwa kwake ni personal attacking anayoitumia kwa mahasimu wake kujikweza..
Na baadhi watanzania walivyowajinga wanamchukulia kama ndiye Yesu mwenyewe ktk ujinga wake..!!
 
Ipo siku Gwajima yatamrudia hayo yote kwa kutumia madhabahu ya Mungu vibaya
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.

ha ha ha ha! Leteni vyeti, acheni mbwembwe!
 
Back
Top Bottom