Wafuasi wa CHADEMA ndio wanakikwamisha chama Chao

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Wafuasi wengi Bado hawajui wanahitaji nini , wenyew wanachojua CCM ni wezi , chama kimeanza kuongoza Toka enzi za babu yangu mpk leo, lkn Bado wamelala awafahamu majukumu Yao kama wanachama

Viongoz ngazi za Kijiji, kata na ngazi nyngn Bado wanaweka watu ambao Awana sifa ya kuwa viongoz, wanaapaswa kupigia kelele Hilo swala Ili chama kubadili sera hiyo Ili chama kianze kutengeneza viongoz vyuoni huko sio tu mtu amelala ameamka pipoziiiii kiongozi wengne unakuta walevi wakutupwa , wengne mabangi

Wanachama wengi bado hawajasajiliwa na kulipia ada ya uanachama Ili kukikuza chama kimapato

Wanachama wengi bado hawafahamu Sera za chama Chao wenyew wanaenda tu na upepo wa CCM wamefeli wapi.

Ni jukumu la wanachama kufahamu Sera za chama, Ili ikitokea mambo yameenda ndivyo sivyo wawaoji viongoz wao kwa ujasiri

NB: vyama vya siasa Tanzania vinapaswa kujitathmin Yani aiwezekn maandamano mnaenda kuomba ruhusa hlf mnashikana mikono kama jogging hlf mtegemee maombi yenu yasikilizwe ni sawa na daktari kugoma hlfu akaendelea kufany kazi ya kuokoa maisha sizani kama hicho Alichogomea atapewa kwa wakat maan anaendelea kufany kazi means atapewa majibu ya siasa

Inauma mnatoka kweny maandamano anaepewa sifa ni mama kwa kuruhusu demokrasia maan nyie mlikuw mnamsaidia mama kwa hali hiii maccm yatatoka kwel madarakani au ndio tumekipenda wenyew acha kituue ebu tubadilikeni hii kupeleka mambo kisiasa aitawahi kubadili kitu
 
Back
Top Bottom