Sheria zote zinazopunguza kasi ya Magufuli zifutwe - Mb.Bashe!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mbunge wa Nzega Mjnini Bashe (CCM) amelitaka Bunge kuangalia sheria zote ambazo zinamzuia au zinamuwekea Raisi Magufuli kizingiti kwenye kutekeleza majukumu yake ya kuindustrialize nchi yetu basi ziondolewe mara moja ili zisitucheleweshe!

bashe222.jpg
 
Kama ni kweli kasema hilo basi atakuwa ameamua kushusha hadhi kidogo aliyobaki nayo kwa ajili ya kujipendekeza
 
Naona hajui maana ya utawala wa sheria


Hilo katu watanzania hatuwezi kumpa rungu Mkurupukaji Mkuu Magufuli atatumaliza! Tayari kuna sheria basi kavunja majumba yetu na jee kama tukimuondolea sheria si ndio atatuua kabisa. Kama mawaziri wenyewe ni kina Mpango, Nape na Januari waache wajipendekeze wao. Tunaomba Bunge liwadhibiti hawa Mafashisti!
 
Huyu naye!? Kaamua kutafuta njia ya mkato ili ateuliwe kuwa naibu waziri. Wenzake wanalilia binge lije na hoja ya kumpunguzia rais madaraka yeye anasmaje? Ugeni wa bunge unamsumbua. Atulie ajifunze taratibu ataelewa tu mwishowe. La, amkate mtama PM huenda akapata akitakacho vinginevyo aache kujenga hoja mfu. Anawaaibisha vijana wenzake halafu.
 
Back
Top Bottom