Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
Jambo hili wabunge mlipeleke Bungeni kisha muunde kamati teule ya Bunge kuchunguza ukweli wa jambo hili na ikithibitika tuhuma hizi ni za kweli Bunge liweke maazimio ya kuitaka serikali ichukue hatua na serikali isipotekeleza maazimio hayo ya Bunge, Wabunge pigeni kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.
Tuache double standard katika kutekeleza sheria na kila mtu awajibike kwa makosa yake kama hawa wafuata walivyowajibika.
Kuna wabunge wamefungwa jela kwa kinachodaiwa kuwapiga Polisi!
Kuna mawaziri walifungwa jela kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Kuna mbunge kawekwa mahabusu miezi takribani minne kwa kuambiwa hastahili dhamana
Kuna wabunge wamelala mahabusu kwa kutuhumiwa kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Kuna diwani kawekwa ndani kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya.
Kuna mawaziri katika awamu iliyopita walilazimishwa na Bunge kujiuzulu kutokana na tuhuma mbalimbali.
Kuna Makatibu Wakuu(kina Jairo na wengineo) walishinikizwa na Bunge na Mamkaka za uteuzi zikawavua madaraka.
Kuna watumishi wa umma wameondolewa kazini kwa kuwa na vyeti fake.
Kuna Maafisa Utumishi wameondolewa katika nafasi zao kwa kwasababu ya kuajiri watumishi wasio na sifa.
Kuna wanafunzi wanaondolewa vyuoni kwa kukosa sifa za kujiunga vyuo vikuu.
Kuna watanzania wako mahabusu kwa makosa ya kughushi.
Kuna watanzania wamefungwa jela kwa makosa ya kughushi.
Huyu Basheti ni nani katika nchi hii yenye watu zaidi ya milioni 45/50?
Sheria ni msumeno tusikubali hili jambo lipite hivi hivi bila kuchunguzwa na ukweli ukajulikana.
Kila mtu abebe msalaba wake tena kwa vitendo na sio kwa kuhubiri majukwaani.