Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.
 
Ndiko tunakoelekea. Kuna wakubwa jeshini ambao ni wakimbizi ndio wanasimamia interviews za kuingiza vijana jeshini huku wakiwapa nafasi wenzao ndani ya jeshi letu. Siku kikiwaka tunaweza nyang'anywa taifa hili maana maeneo nyeti sana.
Huwezi amini wanashika hadi nafasi za juu kabisa za maamuzi. Nchi yetu sijui ina nini hii?
 
Hayo ni matokea ya kua na serikali inayolinda madaraka kupitia vyama na taasisi nyeti zakiserikali badala yakulinda nchi.Wanaona ufahari kujijengea miliki ya kulindana uku wakisahau kua ukishakua na hali kama hiyo lazima umakini utapotea.maudhaigu yetu ni mengi hadi mengine yanaonekana kwa macho ya mwananchi wa kawaida tatizo ni kwamba wabongo sio waongeaji sana ndo maana mambo yanazidi kua ovyo.
 
Back
Top Bottom