Asichokijua Mbunge ni kwamba Picha ya Rais inabeba maana pana katika mambo mtambuka ya Nchi
Kuanzia awamu ya Mkapa Shilingi yetu haitambi huko Duniani
Vitu vingine ni kutumia common sense tu...
Nikiri tu mwanzo sikumuelewa ndugu Makonda, lakini sasa namuelewa kuliko anavyojielewa. Kwa heshima ya chama na mimi kipara kipya na wanachama wa CCM wote wenye mapenzi mema na nchi na Rais na...
Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu.
BoT fanyeni haraka wazo hili.
===
Mhe...
Kwa tulicheza mgambo, sungusungu, scout n.k lazima tufundishwe kasomo kadogo kanaitwa Chain of command.
Mdogo hupokea amri kwa mkubwa huku mkubwa na kutekeleza huku mkubwa akiendelea kuwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024
''Poland imekuwa...
Makonda bado ni kijana mdogo na bado hana utashi uliokamilika, bado anafanya mambo kwa kufuata hulka, hisia za kiujana na kutegemea watu wanamwona vipi.
Hulka hizi hutumika sana na wakubwa...
Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM
MJUMBE wa Mkutano Mkuu Taifa (MNEC), kutoka Mkoa wa Simiyu, Gungu Silanga amekabidhi vitabu vya kanuni za Chama Cha...
https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ
RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na...
UKOSEFU WA UMEME NA MAJI KATIKA DUNIA YA SASA YENYE TEKNOLOJIA LUKUKI, TUJITAFAKARI VIZURI
Na Comrade Ally Maftah
Nawapongeza sana viongozi wote wasaidizi wa Dr Samia kwa jitihada mbalimbali za...
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa...
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje...
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.
Leo...
Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili.
Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni...
Malalamiko ya ubovu ya barabara yamekuwepo muda mrefu na yanazidi kuongezeka kila siku hasa wakati huu wa maeneo mengi nchini kuwa katika kipindi cha masika.
Kutokana na changamoto hiyo wananchi...
...TUNAPOELEKE UKINGONI MWA KIKAO CHA BUNGE LA BAJETI,NA KAMA UMEKUWA MFATILIAJI MZURI WA VIKAO VYA BUNGE HILI..NAOMBA MAONI YAKO KUHUSU MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI HAWA..................NANI...
JAMBO AMBALO NAWASHANGAA SANA WAPINZANI, WAPINGA WATU, WAPINGA MAENDELEO NI KUTOJUA KANUNI YA DUNIA (360")
Na Comrade Ally Maftah
Leo nainua juu kalamu yangu na kuishusha kwenye mitandao ya...
"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima...
Makonda ameandika Instagram yake:
“Naunga mkono hoja ya Kamati Kuu kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi wanaolipaka tope Jeshi hilo kwa kuwalinda wafanyabiashara matapeli...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili.
Taarifa zinazofichwafichwa...
Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda
Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja...