Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,115
Malalamiko ya ubovu ya barabara yamekuwepo muda mrefu na yanazidi kuongezeka kila siku hasa wakati huu wa maeneo mengi nchini kuwa katika kipindi cha masika.
Kutokana na changamoto hiyo wananchi wanakumbwa na adha kubwa wanapotumia barabara ili kutoka eneo moja kweda lingine kufanikisha shughuli zao za maisha, kero ya ubovu wa barabara umesababisha bei za bidhaa kupanda na nauli za vyombo vya usafiri baadhi kupandishwa bei.
Hali ya ubovu wa barabara unachangia kwa kiasi kikubwa kukwamisha shughuli za kiuchumi na kurudisha nyuma juhudi za wananchi kujikwamua na umasikini, barabara zinapokuwa mbuvu shughuli nyingi hukwama au kufanyika kwa tabu na kasi ndogo ivyo kulipa hasara taifa.
Je, mtaani kwako kuna marekebisho yamefanyika baada ya barabara kuharibika? Tuma tuione.
K
Baadhi ya barabara ambazo zimelalamikiwa

- Katavi: Ubovu wa barabara katika Manispaa ya Mpanda, TARURA yanyooshewa kidole
- KERO: Barabara Tabata Kimanga
- Barabara ya Igawa-Mbeya, inajirudia kuwa a Hell Run!
- Ni lini Barabara ya Mpigi Magohe itawekewa lami?
- Barabara ya Njombe kwenda Songea haina viwango vya barabara za mkoa
- Barabara ya Nachingwea-Masasi ni mbovu mno
- Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?
- Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?
- Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo
- Fountain Gate Academy Tabata rekebisheni Barabara za kuingia Shuleni, mnatesa Watoto
- Barabara ya Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo) ni changamoto kwa watumiaji kutokana na ubovu
- Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani
- Hali ya Barabara ya Madale Mwisho-Mbopo-Mabwepande ni mbaya sana
- Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia
- Hivi jimbo la Nyamagana jijini Mwanza lina mbunge kweli. Wakazi wa Kishiri wanateseka mno na barabara yao Mbovu sanaa
- Barabara ya Kijiji cha Mipeko, Mkuranga ni mbovu sana. Viongozi wetu mko wapi?
- Haya mashimo barabarani tunataka yachimbuke futi ngapi ili kuyaziba