Tanzania ya viwanda

Tanzania ya viwanda

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
196
Reaction score
250
Ifikapo 2021 Tanzania tutakua na umeme wakutosha na mpaka mwengine tutauza nje ya nchi alisikika kiongozi mmoja akisema hivyo lakini leo 2024 umeme unakatika kuanzia. Saa 12 asubuhi mpaka saa sita usiku
 
Back
Top Bottom