Mgawo wa Umeme, kwa nini TANESCO, na Waziri walaumiwe?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,730
Hii nchi imejaa raia wasio jitambua kabisa na wajinga wajinga pia, ni ujinga kulaumu TANESCO na Waziri wa nishati na kumuacha mhusika mkuu ambaye ni Raisi.

Raisi ni mtu pekee wa kulaumu kwa hii ishu ya umeme, ni ujinga kuwalaumu Tanesco au Waziri au sijui meneja wa TANESCO.

Samia ndio anatufikisha hapa na wala sio TANESCO.

Kule bungeni nako utashangaa Wabunge walivyo vilaza wanamuuliza waziri wa nishati maswali ya mgao wakati waliapaswa kumuuliza Mwenyekit wao wa Chama ni kwa nini kuna mgao. Taifa limejaa watu wapumbavu na wanafiki tupu.

Mgao uaneda mwaka wa tatu sasa na wa kumulaumu ni Bibi na sio mtu mwingine, watu tunakula hasara daily kwa sababu ya kuwa na viongozi dhaifu levo ya Mama.
 
Back
Top Bottom