Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,557
Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025.

Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa miradi kemkem, CCM haijaweza kukubali kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Shinikizo la katiba mpya limeonesha wazi kwa watawala kutokuwa tayari kwa mabadiliko, na hata mchakato wa katiba mpya kukamilika itakuwa ni kati ya 2025 kuelekea 2030 baada ya uchaguzi.

Watawala wetu wapo tayari kufanya chochote ile wabaki madarakani, na wanaelewa njia "nzuri" ni kucheza rafu, kwani bila hivyo hawatoboi. Kwanini CCM wamefumba macho hata baada ya rekodi mbaya ya Makonda kuhusu haki za binadamu?

Magufuli alimtumia Sabaya pale nyumbani kwa Mbowe jimbo la Hai, na kanda ya Kaskazini. Sabaya alikuwa hazuiliki na mtu yeyote kwani alikuwa na maagizo kutoka juu. Hata mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati ule mama Anna Magwira alijibiwa kwa kiburi na jeuri na kijana Sabaya kwani Sabaya alikuwa na uhakika kwamba hakuna madhara yoyote.

Kibri na jeuri tunazoona sasa kutoka kwa Paul Makonda hadi kufikia hatua ya kuwaamrisha Waziri Mkuu, mawaziri na watendaji wakubwa wa serikali sio hivihivi, ana ruhusa kutoka juu.

Kwa namna hii navyomjua Makonda, atatenda mengi sana na kuvuka mipaka kama alivyofanya Sabaya. Inajulikana pia kwamba wakati wa Magufuli Makonda aliwekewa red tape na jumuiya ya kimataifa hasa Marekani kama mtu anayekiuka haki za binadamu.

Je, ni kwanini Mama amemchagua hata baada ya rekodi hii mbaya kimataifa? Hakuna watu safi nchi hii? Hakuna namna nyingine ya CCM kufanikiwa bila rafu za akina Sabaya na Makonda?
 
Wew ni mjinga majungu mtaacha lini? Kwanini mnamuogopa Makonda? Mpk inaonesha kbs Makonda ndyo yenu wahunihuni
 
Mama alikuja vizuri sana lakini chagadema wakaanza kumtukana ovyoovyo akahisi kumbe amekosea kuwapendelea. Sasa ameona ajitete kupitia makonda. Alifikia hatua ya Kuja mpaka kwenye mikutano yenu mkamuonza hamnazo Sasa ngoja mlinywe mana hamna akili
 
Hatumwogopi yeye kama yeye, tunaogopa jinsi anavyoweza akatumiwa vibaya kutesa watu kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Makonda bila kupata go ahead ya boss hana kitu. Ila kwa jinsi alivyo mjinga anaweza akaumiza watu wengi kama alivyofanya Sabaya. Hawa watu ni hatari kabisa ni lazima tuwaogope na kuwakataa.
 
Utalinywa hata wewe maana kichaa akianza kurusha mawe hachagui wa kumpiga. Be careful!
 
Mmh !
 
Samia kumpa kazi Makonda aliona kabisa hayupo mwingine wa kuendana na kasi ya upinzani huko CCM, wote waliopita pale walionekana hawatoshi.

Hivyo Makonda kupewa cheo ilikuwa ni either Samia aamue kukilinda chama chake, au awaogope wamarekani amuache Makonda, ndio akaamua kukilinda chama chake kwa kumpa kazi Makonda.

Huyo Makonda amepewa kazi ili kuvuruga tu huku ndani, ndio maana amepewa kazi ya chama, sitegemei Makonda aje kupewa uteuzi serikalini, kwani majukumu yake yataweza kumlazimu kutoka nje ya mipaka yetu, na hapo ndipo atakutana na rungu la mmarekani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hatumwogopi yeye kama yeye, tunaogopa jinsi anavyoweza akatumiwa vibaya kutesa watu kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Makonda bila kupata go ahead ya boss hana kitu. Ila kwa jinsi alivyo mjinga anaweza akaumiza watu wengi kama alivyofanya Sabaya. Hawa watu ni hatari kabisa ni lazima tuwaogope na kuwakataa.
Hivi mbowe bado ana mpango wa kugombea ubunge? Mbona bashite anawatisha sana Hadi mmekimbia mikutano ya kisiasa?
 
Mama alikuja vizuri sana lakini chagadema wakaanza kumtukana ovyoovyo akahisi kumbe amekosea kuwapendelea. Sasa ameona ajitete kupitia makonda. Alifikia hatua ya Kuja mpaka kwenye mikutano yenu mkamuonza hamnazo Sasa ngoja mlinywe mana hamna akili
Wewe waajabu kweli kweli
Aibu anayeenda kuipata ni huyo aliyejifanya R4
 
Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025.

Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa miradi kemkem, CCM haijaweza kukubali kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Shinikizo la katiba mpya limeonesha wazi kwa watawala kutokuwa tayari kwa mabadiliko, na hata mchakato wa katiba mpya kukamilika itakuwa ni kati ya 2025 kuelekea 2030 baada ya uchaguzi.

Watawala wetu wapo tayari kufanya chochote ile wabaki madarakani, na wanaelewa njia "nzuri" ni kucheza rafu, kwani bila hivyo hawatoboi. Kwanini CCM wamefumba macho hata baada ya rekodi mbaya ya Makonda kuhusu haki za binadamu?

Magufuli alimtumia Sabaya pale nyumbani kwa Mbowe jimbo la Hai, na kanda ya Kaskazini. Sabaya alikuwa hazuiliki na mtu yeyote kwani alikuwa na maagizo kutoka juu. Hata mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati ule mama Anna Magwira alijibiwa kwa kiburi na jeuri na kijana Sabaya kwani Sabaya alikuwa na uhakika kwamba hakuna madhara yoyote.

Kibri na jeuri tunazoona sasa kutoka kwa Paul Makonda hadi kufikia hatua ya kuwaamrisha Waziri Mkuu, mawaziri na watendaji wakubwa wa serikali sio hivihivi, ana ruhusa kutoka juu.

Kwa namna hii navyomjua Makonda, atatenda mengi sana na kuvuka mipaka kama alivyofanya Sabaya. Inajulikana pia kwamba wakati wa Magufuli Makonda aliwekewa red tape na jumuiya ya kimataifa hasa Marekani kama mtu anayekiuka haki za binadamu.

Je, ni kwanini Mama amemchagua hata baada ya rekodi hii mbaya kimataifa? Hakuna watu safi nchi hii? Hakuna namna nyingine ya CCM kufanikiwa bila rafu za akina Sabaya na Makonda?
Kwani Samia mnadhani hajui kuwa Makonda siyo msafi? Anajuwa kabisa kuwa Makonda ni muuaji, dhulmati na mtekaji ila amewapa wanachotaka.
Hiyo sasa ndiyo siasa. Unamkabili adui kwa kasi ileile anayokuja nayo. Akija kwa staha unakwenda naye kwa staha. Akija kwa matusi na dharau unammuonyesha dharau mara 10 zaidi.

Hawa pimbi wenu akina Lissu na Mdude wamekuwa wakitukana kila siku mnawachekea. Sasa wame beep na mama kawapigia.

Hapa hapigwi mtu risasi kama Magufuli alivyokuwa anapiga akina Lissu, wala mtu hatekwi na kufunguliwa mashtaka ya kutakatisha fedha.

Samia atashindana kwa performance, sera nzuri uongozi bora.
 
Kwani wewe haujui kuwa hata Sabaya OG anarudishwa kundini? Kwasasa anaendelea kusafishwa mahakamani kwanza.
 
Kwani Samia mnadhani hajui kuwa Makonda siyo msafi? Anajuwa kabisa kuwa Makonda ni muuaji, dhulmati na mtekaji ila amewapa wanachotaka.
Hiyo sasa ndiyo siasa. Unamkabili adui kwa kasi ileile anayokuja nayo. Akija kwa staha unakwenda naye kwa staha. Akija kwa matusi na dharau unammuonyesha dharau mara 10 zaidi.

Hawa pimbi wenu akina Lissu na Mdude wamekuwa wakitukana kila siku mnawachekea. Sasa wame beep na mama kawapigia.

Hapa hapigwi mtu risasi kama Magufuli alivyokuwa anapiga akina Lissu, wala mtu hatekwi na kufunguliwa mashtaka ya kutakatisha fedha.

Samia atashindana kwa performance, sera nzuri uongozi bora.
Pimbi ni wewe tetere mjane wa Mroka ....hiyoo inatwa Logalizim mlete ndani....huwezi juwa hii Code...stay tuned hapa hapa
 
Wew ni mjinga majungu mtaacha lini? Kwanini mnamuogopa Makonda? Mpk inaonesha kbs Makonda ndyo yenu wahunihuni
Jana nilisema Tanganyika wenye akili ni wachache sn. Sasa hapo umemtukuna mleta mada kwa sababu ipi au wewe ndiyo mwana CCM peke yako. Mimi huwa nakereheka mtu kumtukana usie mjua, mmekutana tu hapa jf then unamuodolea heshima yake kwa sababu za hovyohovyo.
 
Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025.

Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa miradi kemkem, CCM haijaweza kukubali kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Shinikizo la katiba mpya limeonesha wazi kwa watawala kutokuwa tayari kwa mabadiliko, na hata mchakato wa katiba mpya kukamilika itakuwa ni kati ya 2025 kuelekea 2030 baada ya uchaguzi.

Watawala wetu wapo tayari kufanya chochote ile wabaki madarakani, na wanaelewa njia "nzuri" ni kucheza rafu, kwani bila hivyo hawatoboi. Kwanini CCM wamefumba macho hata baada ya rekodi mbaya ya Makonda kuhusu haki za binadamu?

Magufuli alimtumia Sabaya pale nyumbani kwa Mbowe jimbo la Hai, na kanda ya Kaskazini. Sabaya alikuwa hazuiliki na mtu yeyote kwani alikuwa na maagizo kutoka juu. Hata mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakati ule mama Anna Magwira alijibiwa kwa kiburi na jeuri na kijana Sabaya kwani Sabaya alikuwa na uhakika kwamba hakuna madhara yoyote.

Kibri na jeuri tunazoona sasa kutoka kwa Paul Makonda hadi kufikia hatua ya kuwaamrisha Waziri Mkuu, mawaziri na watendaji wakubwa wa serikali sio hivihivi, ana ruhusa kutoka juu.

Kwa namna hii navyomjua Makonda, atatenda mengi sana na kuvuka mipaka kama alivyofanya Sabaya. Inajulikana pia kwamba wakati wa Magufuli Makonda aliwekewa red tape na jumuiya ya kimataifa hasa Marekani kama mtu anayekiuka haki za binadamu.

Je, ni kwanini Mama amemchagua hata baada ya rekodi hii mbaya kimataifa? Hakuna watu safi nchi hii? Hakuna namna nyingine ya CCM kufanikiwa bila rafu za akina Sabaya na Makonda?
Kupambana na madawa ya kulevya ndio record mbaya?.

Acheni njaa nyie watu ipendeni nchi yenu, kwann hampendi kuona wazalendo wakifuatilia miradi ya maendeleo na kuwakosesha amani mafisadi?.

Hebu weka hiyo record mbaya ya makonda hapa tuisome.
 
Samia kumpa kazi Makonda aliona kabisa hayupo mwingine wa kuendana na kasi ya upinzani huko CCM, wote waliopita pale walionekana hawatoshi.

Hivyo Makonda kupewa cheo ilikuwa ni either Samia aamue kukilinda chama chake, au awaogope wamarekani amuache Makonda, ndio akaamua kukilinda chama chake kwa kumpa kazi Makonda.

Huyo Makonda amepewa kazi ili kuvuruga tu huku ndani, ndio maana amepewa kazi ya chama, sitegemei Makonda aje kupewa uteuzi serikalini, kwani majukumu yake yataweza kumlazimu kutoka nje ya mipaka yetu, na hapo ndipo atakutana na rungu la mmarekani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Anaweza kupewa jukumu na hakunaulazima wakwenda njeya nchi.

Magu alibaki hapahapa home na tuliona nchi anapata maendeleo kwa speed ya jet.

Hao marekani ni wazee wa maslahi, wakikuambia mtu flani ni muovu kunakichwa na mambupu kwanza kabla huja waamini.
 
Back
Top Bottom