Heshima kwenu wakuu,
Hii Wizara imekuwa Mwiba kwa kila Mtu alokanyaga ndani kuiongoza. Haijamuacha salama.Leo nimeona niongelee hili swala ili kuweka kumbukumbu sawa. Ntaomba michango ya...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili...
Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja.
Doto anahangaika na Unaibu waziri...
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi...
Mhe. Spika na Katibu wa Bunge.
nimelazimika kuandika waraka huu kwenu kama malalamiko Rasmi ya jinsi ambavyo kwa muda mrefu jeshi la polisi wilaya ya Armeru na Mkoa wa Arusha wamekuwa wajaribu...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na...
Mwaka 2013 ama na 14, aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Maselle, alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya chakula cha usiku na Vijana wa vyuoni pale Mwanza, nilipata nafasi ya kuwepo...
CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza.
Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa...
Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati wa kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuangalia namna ya kutengeneza barabara za zitakazodumu muda mrefu maeneo ya...
Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza...
Natoa kongole kwa maandamano ya CHADEMA, maandamano yenu mmemaliza kwa kundi moja tu. Maandamano ni hatua, maandamano yenu leo ni hatua, hatua ya kwanza mmemaliza kuwakutanisha watu wa mijini hasa...
CHADEMA kama kweli maandamano yenu ni ya dhati toka mioyoni basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo...
Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla.
Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba...
"Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa...
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.
Alikubali kutumika na...
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye...
Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli.
1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi...
Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka...
Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti.
Mimi napendekeza...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwamba na Jabali wa siasa za ardhini na kijana jasiri kusini mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda. Ambapo katika siku kama ya leo...