Lissu kuhojiwa na kituo cha Star Tv usiku wa leo Februari 12, 2024

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
59,019
103,411
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.

Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
 
Tunasubiri kwa hamu changamoto ni hawa ndugu zetu TANESCO mtaani kwetu wameukata tangu saa kumi na mbili jioni! Incase nikamiss naomba kujua kama huwa kuna marudio ya hicho kipindi!!!!
Huku Idodomya pia hakuna umeme!
 
Tunasubiri kwa hamu changamoto ni hawa ndugu zetu TANESCO mtaani kwetu wameukata tangu saa kumi na mbili jioni! Incase nikamiss naomba kujua kama huwa kuna marudio ya hicho kipindi!!!!
TIME PLEASE
 
Iwapo hakitakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lisu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama waliweza kumhoji Lema majuzi, sishangai ya Lissu kupita
kwanza Star TV yenyewe haina tofauti sana na zile za yuutub akina Global TV, Mwanahalisi TV,
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.

Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
Asante sana kwa taarifa, hii sio ya ku miss!.
P
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.

Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
sawa..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom