Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,458
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi.

Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.

Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazima yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.

Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.

Makonda ni Magufuli wa pili.
 
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.

Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.

Mungu hajawahi na hatakaa ambariki muuaji mnafiki kuwa kiongozi mzuri.

Kumbuka Kaini alivyo mwaga damu ya ndugu yake Mungu bila kupepesa macho alimwambia Kaini, Damu ya ndugu yako ina kulilia.

Sasa Makonda mikono yake ina nuka damu.

Huo uzuri wa uongozi wake una toka wapi wakati mikono yake ina nuka damu?

Na mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Acheni usanii kwenye jumba la sanaa
 
Mungu hajawahi na hatakaa ambariki muuaji mnafiki kuwa kiongozi mzuri.
Kumbuka Kaini alivyo mwaga damu ya ndugu yake Munvu bila kupepesa macho alimwambia Kaini, Damu ya ndugu yako ina kulilia.
Sasa Makonda mikono yake ina nuka damu.
Huo uzuri wa uongozi wake una toka wapi wakati mikono yake ina nuka damu?
Na mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Acheni usanii kwenye jumba la sanaa
Tueleze na aliyemuua chacha wangwe, inaonekana wewe una taarifa nyeti. 😆
 
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.

Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.

Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.

Makonda ni Magufuli wa pili.
Hivi Kwa nini tunapenda kusifia viongozi makatili, mauaji na madhulumaji. Mtu anawaambia kavamia kituo cha redio hapendi kabisa Uhuru wa vyombo vya habari. Mtu hataki watu waende mahakamani viongozi wawe mahakimu( totalitarian). Tuwakosoe hawa viongozi. Ubabe mwingi wakati kajilimbikizia Mali tu. Kama wanapenda Nchi hii waache demokrasia itembee, na wapige vita rushwa Kwa dhati.
 
Tupe ubora wake na jinsi mfumo unavyomkataa 🤔
 
Hivi Kwa nini tunapenda kusifia viongozi makatili, mauaji na madhulumaji. Mtu anawaambia kavamia kituo cha redio hapendi kabisa Uhuru wa vyombo vya habari. Mtu hataki watu waende mahakamani viongozi wawe mahakimu( totalitarian). Tuwakosoe hawa viongozi. Ubabe mwingi wakati kajilimbikizia Mali tu. Kama wanapenda Nchi hii waache demokrasia itembee, na wapige vita rushwa Kwa dhati.
Afrika tunahitaji viongozi makatili bila shaka kuna watu watumia ila hakuna namna
 
Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda bo bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake.

Kwa spidi ya huyu kijana mapapa hayawezi kumwachia kamwe, lazma yamnyofoe kichwa tu labda aongezewe ulinzi. Makonda anafaa kuwa rais ila kwa mfumo wa CCM haiwezekani kabisa, washajifunza toka kwa hayati Magufuli.

Makonda ili atoboe aendee hivyo ikiwezekana ajiunge na chama kingine ila wakati ambapo uchaguzi ni huru.

Makonda ni Magufuli wa pili.
Hivi Makonda ni kijana?
 
Hivi Kwa nini tunapenda kusifia viongozi makatili, mauaji na madhulumaji. Mtu anawaambia kavamia kituo cha redio hapendi kabisa Uhuru wa vyombo vya habari. Mtu hataki watu waende mahakamani viongozi wawe mahakimu( totalitarian). Tuwakosoe hawa viongozi. Ubabe mwingi wakati kajilimbikizia Mali tu. Kama wanapenda Nchi hii waache demokrasia itembee, na wapige vita rushwa Kwa dhati.
Kwani mwenzetu toka ulione jua, umwefanya dhuluma mara ngapi? Jitathmini ndugu. Hakuna mkamilifu chini ya jua. Muache kijana apige kazi. Mengine ni stori tu.
 
Siasa... Maji ni maji tu, tofauti yake ni ladha... Uzuri wa maji kuna muda yanapata jina kulingana na matumizi ama hali ya wakati huo
Maji ya kuoga, maji ya kuoshea vyombo, maji ya kumwagilia bustani, maji moto, maji baridi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom