Tuje na maandamano ya uhaba wa umeme na maji

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kwa hali irivyo kwa sasa naona tuje na maandamano ya umeme na maji kwa hapa Daslam

Tuna miezi miwili hatuna huduma ya maji umeme hatuuoni masaa mengi

Mpaka unajiuriza kwani karemani arifanya kosa gani hadi akatolewa Tanesco

Kwa hali irivyo ni wakati wa kuingiya barabarani wote tu bira kujali itikadi au mrengo
 
Back
Top Bottom