Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa
Kamati hiyo imewataka Chadema...
Wanabodi,
Jumapili ya leo, naendelea na mada zangu za kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura.
Natoa tena samahani kwa kuanza ni kichwa cha habari cha matukano, kuwa sisi Watanzania...
Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..
Bila shaka Arusha, Manyara na...
Kwema Wakuu,
Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana...
Hili ni Suala la Tofauti Tu - Siyo Chuki
Na. M. M. Mimi Mwanakijiji
Wao wana haki ya kumtaka Lowassa kama Rais wa Tanzania; na sisi tunahaki ya kumkataa Lowassa kama Rais wa Tanzania. Wao wana...
Wanabodi,
Wale wa longi kama mimi mnaweza kukumbuka yale mazungumzo ya amani ya Burundi yaliyokuwa yakisimamiwa na Mwalimu Nyerere mjini Arusha, kila siku mazungumzo yalikuwa hayafiki mwisho kwa...
Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa.
Mpaka sasa tumebakiza miezi minne...
MASWALI MAGUMU KWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASA
Kwako mh. Edward Lowassa,
Ni matumaini yetu kuwa u mzima wa afya. Kuelekea mchakato wa Urais mwaka huu tumesikia kuwa nawe baba utatangaza nia. Sisi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara...
Nimefuatilia Hotuba za viongozi karibu wote wa CCM na serikali wa sasa na wastaafu, sijasikia hata mmoja anayesema kwamba Lowassa aliwahi kuhamia Chadema na kugombea Urais kupitia Chama hicho...
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa kutoka mkoani humo, kwamba baada ya Ratiba ya Maandamano ya awamu ya pili, ya kupinga Ugumu wa maisha na miswada mibovu ya sheria za uchaguzi kutangazwa na Katibu...
TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu.
Utangulizi:
Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia...
Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe
Mama aliingia akakuta shirika la TANESCO na umeme ulikua...
Ndio Taarifa zilizopo hapa Arusha Mjini ambapo safari ya Viongozi hao wakuu wanaotokea Mwanza inaratibiwa
Chadema Arusha wamewashukuru Wana Mwanza kwa kumuenzi Lowassa kwa nyomi ya kihistoria...
Katiba inasema chama chochote kikifikisha asilimia 5 ya kura za Wabunge kwenye uchaguzi mkuu lazima kiteue wabunge wa Viti Maalum.
Katiba haisemi kwamba uchaguzi mpaka ukiwa huru na haki ndiyo...
Habari.
Mwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa CHADEMA Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumdhuru Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye...
Sisi wapenzi wa umoja wa nchi yetu ya Tanzania tunasikitishwa sana na tabia ya CHADEMA kujitenga tenga.
Mbowe, Lissu, Lema, Mdee kwanini huwa mnajitenga kwenye masuala ya kitaifa? Kwenye Corona...
Nchi yetu ina matatizo ya aina 2
1. Matatizo ya kimfumo ambayo haya chanzo kikuu ni Katiba
2. Matatizo ya kiasili ambayo haya msingi wake ni Ujinga na mada hii ni pana sana.
Ili tuweze kupambana...
Umofia kwenu
Tatizo kubwa la Afrika lilianzia pale wale waliopigania UHURU wa nchi hizi kujipa nafasi ya utakatifu na kuamua kujimilikisha nchi wao, jamaa zao na vizazi vyao.
Uhuru wa nchi za...