Ni ngumu kushika nafasi za juu ukishakuwa chawa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu,

Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.

Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi kubwakubwa. Deep State haiwezi kuku-consider kwa nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa.

Sababu kubwa inayofanya Machawa wasipewe kipaombele ni tabia yao ya bendera fuata upepo, kutokuwa na msimamo, Usaliti. Yaani Machawa wote kiasili wana nature ya Usaliti ni kutokana hawana msimamo na hawajui nini cha kusimamia. Mwisho Chawa wengi hutokana njaa, ufukara na upeo mdogo wa kufikiri.

Watu wenye upeo mkubwa na wenye vipato kamwe hawawezi kuwa Chawa.

Vijana, unapoingia kwenye siasa elewa vitu kama hivyo. Wengi huishia kuwa Chawa, kulamba viatu vya Wakubwa na hawaendi popote. Na hawawezi kwenda popote kwa sababu sisi Watawala tunajua Machawa ni wanafiki.

Leo anakusifia lakini kesho akipata cheo cha juu ndio huyohuyo atakugeuka.

Machawa msijisumbue kuzitafuta nafasi za juu. Futeni ndoto hizo kwa sababu hatutaruhusu Watu fukara na wenye upeo wa chini kuingia kwenye list ya watawala.

Ijumaa Kareem.
 
Unachosahau ni kuwa CHAWA wanatengenezwa na Mfumo wa Elimu yetu

75% ya Wabunge ni Machawa

Wabunge 19 wa Chadema ni CHAWA

Nk....nk
 
Kwema Wakuu!

Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.

Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi kubwakubwa .
Deep State haiwezi kuku- consider Kwa nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa.

Sababu kubwa inayofanya Machawa wasipewe kipaombele ni tabia yao ya bendera fuata upepo, kutokuwa na msimamo, Usaliti. Yaani Machawa wote kiasili wana nature ya Usaliti ni kutokana hawana msimamo na hawajui nini cha kusimamia.
Mwisho Chawa wengi hutokana njaa, ufukara na upeo mdogo wa kufikiri.

Magu alikuwa hivi, alikuwa ana sifu sana akiwa Waziri
 
MACHAWA NI SAWA NA WANAWAKE MALAYA WANAOJIUZA KWA BUKU
 
Unachosahau ni kuwa CHAWA wanatengenezwa na Mfumo wa Elimu yetu

75% ya Wabunge ni Machawa

Wabunge 19 wa Chadema ni CHAWA

Nk....nk
Na Ndayo maana hawana impact yoyote kama alivyosema mleta mada. Ni bendera fuata upepo.
 
Kwema Wakuu!

Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.

Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi kubwakubwa .
Deep State haiwezi kuku- consider Kwa nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa.

Sababu kubwa inayofanya Machawa wasipewe kipaombele ni tabia yao ya bendera fuata upepo, kutokuwa na msimamo, Usaliti. Yaani Machawa wote kiasili wana nature ya Usaliti ni kutokana hawana msimamo na hawajui nini cha kusimamia.
Mwisho Chawa wengi hutokana njaa, ufukara na upeo mdogo wa kufikiri.

Watu wenye upeo mkubwa na wenye vipato kamwe hawawezi kuwa Chawa.

Vijana, unapoingia kwenye siasa elewa vitu kama hivyo. Wengi huishia kuwa Chawa, kulamba viatu vya Wakubwa na hawaendi popote. Na hawawezi kwenda popote kwa sababu sisi Watawala tunajua Machawa ni wanafiki.
Leo anakusifia lakini kesho akipata cheo cha juu ndio huyohuyo atakugeuka.

Machawa msijisumbue kuzitafuta nafasi za juu. Futeni ndoto hizo kwa sababu hatutaruhusu Watu fukara na wenye upeo wa chini kuingia kwenye list ya watawala.

Ijumaa Kareem.
Lucas mwashambwa inakuaje sasa
 
Yaani kwenye kipindi cha Msiba kama hiki unaweza kiandika hayo? Kwamba Mzee wetu (RIP) alikuwa chawa ndio maana akanyimwa kugombea Urais na chama chetu? Kweli unadiriki kusema hivyo?
 
"Deep State haiwezi kuku- consider Kwa 👆nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa."

👆👆

Unafahamu maana ya Deep State wewe?

Unafahamu chawa ni akina nani?

Kwa taarifa yako chawa siyo watu wa hali ya chini tu bali hata wanafamilia wa kiongozi nao ni chawa wake.

Na chawa wana madaraja kutegemeana na umahiri wa mtu.

Chawa akikuwa anapata uteuzi bila tabu
 
Kwema Wakuu!

Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.

Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi kubwakubwa .
Deep State haiwezi kuku- consider Kwa nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa.

Sababu kubwa inayofanya Machawa wasipewe kipaombele ni tabia yao ya bendera fuata upepo, kutokuwa na msimamo, Usaliti. Yaani Machawa wote kiasili wana nature ya Usaliti ni kutokana hawana msimamo na hawajui nini cha kusimamia.
Mwisho Chawa wengi hutokana njaa, ufukara na upeo mdogo wa kufikiri.

Watu wenye upeo mkubwa na wenye vipato kamwe hawawezi kuwa Chawa.

Vijana, unapoingia kwenye siasa elewa vitu kama hivyo. Wengi huishia kuwa Chawa, kulamba viatu vya Wakubwa na hawaendi popote. Na hawawezi kwenda popote kwa sababu sisi Watawala tunajua Machawa ni wanafiki.
Leo anakusifia lakini kesho akipata cheo cha juu ndio huyohuyo atakugeuka.

Machawa msijisumbue kuzitafuta nafasi za juu. Futeni ndoto hizo kwa sababu hatutaruhusu Watu fukara na wenye upeo wa chini kuingia kwenye list ya watawala.

Ijumaa Kareem.
CC: Lucas mwashambwa
 
Mfano hai ni huyu Lucas Matonya Mwashambwa anapinda mgongo kuwasifia wakubwa lakini hawamuiti licha ya kuwawekea namba za simu matokeo yake wanaitwa akina Upendo Peneza toka Chadema wanapewa mamilioni ya fedha na vyeo juu.
 
Magu alikuwa hivi, alikuwa ana sifu sana akiwa Waziri
Magu yupi?, kama unamwongelea jpm,basi humjui vzr, jpm ndio waziri pekee aliyewahi kuandika barua ya kujiuzuru kwenye nafasi ya uwaziri mala mbili kipindi cha kikwete.na kila alipokuwa akimpelekea barua mhe rais,hakukubaliana na hilo.kumbuka sakata la meli ya wachina,na sakata la boti kuja mwanza.
 
Kwema Wakuu!

Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.

Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi kubwakubwa .
Deep State haiwezi kuku- consider Kwa nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa.

Sababu kubwa inayofanya Machawa wasipewe kipaombele ni tabia yao ya bendera fuata upepo, kutokuwa na msimamo, Usaliti. Yaani Machawa wote kiasili wana nature ya Usaliti ni kutokana hawana msimamo na hawajui nini cha kusimamia.
Mwisho Chawa wengi hutokana njaa, ufukara na upeo mdogo wa kufikiri.

Watu wenye upeo mkubwa na wenye vipato kamwe hawawezi kuwa Chawa.

Vijana, unapoingia kwenye siasa elewa vitu kama hivyo. Wengi huishia kuwa Chawa, kulamba viatu vya Wakubwa na hawaendi popote. Na hawawezi kwenda popote kwa sababu sisi Watawala tunajua Machawa ni wanafiki.
Leo anakusifia lakini kesho akipata cheo cha juu ndio huyohuyo atakugeuka.

Machawa msijisumbue kuzitafuta nafasi za juu. Futeni ndoto hizo kwa sababu hatutaruhusu Watu fukara na wenye upeo wa chini kuingia kwenye list ya watawala.

Ijumaa Kareem.

Aione Lucas Mwashambwa
 
"Deep State haiwezi kuku- consider Kwa 👆nafasi za juu ikiwa tuu wamekuona unatabia za kichawa."

👆👆

Unafahamu maana ya Deep State wewe?

Unafahamu chawa ni akina nani?

Kwa taarifa yako chawa siyo watu wa hali ya chini tu bali hata wanafamilia wa kiongozi nao ni chawa wake.

Na chawa wana madaraja kutegemeana na umahiri wa mtu.

Chawa akikuwa anapata uteuzi bila tabu

Umeeleza vizuri lakini nafikiri hujasoma mada inahusu uongozi wa daraja la juu(kubwa)
 
Back
Top Bottom