Twendeni msibani Monduli - Arusha: zaidi ya ng'ombe 100 watachinjwa na kuliwa nyama kwenye msiba wa Laigwananani Edward Ngoyai Lowassa

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,101
2,344
Hii ni kali kwelikweli, sijawahi ona ng'ombe wengi kiasi hiki (zaidi ya 100) kwenye msiba mmoja na wenye afya kama hawa wakichinjwa kuliwa nyama msibani..

Bila shaka Arusha, Manyara na Kilimanjaro yote inahamia Monduli kwenda kula nyama na kumwaga Mzee Edward Ngoyai Lowassa...
 
View attachment 2905371

Kwa Mh. Lowasa ilikuwa kawaida kila mwaka kuchinja ng'ombe na kualika mamia ya wananchi...!
 
Back
Top Bottom