Tanzania wanasiasa wote ni maskini Kwa vinywa vyao wenyewe, wengi Wanamiliki nyumba za makazi na kupanga, wanamiliki mashamba makubwa ya mifugo na wakiiba sana wanakwenda kununua mabasi...
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi...
Ndio sababu maeneo mengine akifariki kiongozi Wasifu wa Marehemu husomwa na Wanafamilia baada ya kukusanya taarifa za maisha yake binafsi kuanzia alipozaliwa na Historia ya Utumishi wake husomwa...
Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko...
Nilifuatilia kuagwa kwa mwili wa Hayati Edward Lowassa pale kalimjee hall sikuweza kumuona muheshimiwa Pinda na pale ndio ilikuwa sehemu sahihi ya viongozi mashuhuri na wastaafu kumuaga hayati...
Kwa jinsi walivyopatikana na kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi kuwa Wabunge Viti Maalum ni wazi kuwa ni chawa wa CCM. Kuthibitisha hilo ni jinsi Mihimili yote 3 inavyotumia nguvu kubwa kuwalinda licha...
Kwenu wataalamu wa mambo ya siasa, je ilikuwa sahihi kamati ya mazishi ambayo inaongozwa na PM kuandaa historia ya hayati Lowasa bila kuhusisha kuhamia upinzani?
Mama alipokuja kuhutubia yeye...
Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa...
Hii nchi, bila kuja kuwatoa hawa CCM kwa nguvu hakuna kitakacho badilika, Hawa watawala wana dharau na viburi sana kwa raia.
Fikiria misafara yao ya V8 na angalua kinacho endelea kwa wananchi. na...
Kundi la watu 11 likiongozwa na Balozi Ali Karume limetajwa kuunda mkakati maalum wa kuikwamisha Serikali Ya Dkt. Hussein Mwinyi, visiwani zanzibar.
Taarifa za mawasiliano kupitia group lao la...
Familia ya Angelo Ngiyiye inamuomba Rais Samia Suluhu Hasani kusaidia kurejeshwa nchini kwa mwili mtanzania Angelo Nzigiye uliotelekezwa nchini India ukidaiwa 100M ili uanchiwe ili uletwe nchini...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
Wakimbizi wa Afrika Kusini waliokuwa wakiishi pale Mazimbu Morogoro kuna wengine walibahatika kuzaa na watanzania baadaye walipopata uhuru walirudi kwao
Sura hiyo wengine mtakuwa mnaikumbuka pale...
Watanzania poleni sana kwa kuondokewa na kipenzi cha Watanzania na ambaye ni Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa.
Nimekuwa naufutilia Msiba huu toka ulipotokea na kuwaona Viongozi...
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye Siasa za Bongo
Kutoa Heshima: Mbowe na Zitto
Kuweka maua: Mbowe, Zitto, Bashe na Rostam Aziz
Kutoa Salam: Mbowe
Siasa ni mchezo fulani hivi so tusiwe...
Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa.
MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya...
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga...
Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais.
Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT...
Si kwamba tunagombea Msiba la hasha , kwa mfano Viongozi wa Chadema hawana habari ya Mambo hayo , bali tunachotaka kifahamike ni kwamba Ubaguzi kwenye masuala ya Misiba na hasa misiba ya waliowahi...